@airtel_tanzania Naomba mnipumzishe kunipigia simu toka namba 100 kila siku zaidi ya mara 3 nimechoka !! Laini yangu isingekuwa na kazi nyingine ningetupa mnaboa sana 0687312133
@Tigo_TZZ Nilifanya malipo tar 26/7 mkakata hela yangu na mkashindwa kuipeleka selcom, nawapigia mnasema malipo yamefika wakati selcom nawapigia wanasema malipo hawajapata, kampuni husika malipo hawajapata wote wanakataa na nyie nasema mrudishe hela mmekausha Hadi kesho, 0675501430
@tricecutie Kuna pic yangu nilikuwa naielewa nikaletewa maneno kibao na mademu wenzake wanaoishi nae usinambie Huwa ni michezo ya kuchafuana tu, maana niliamini ikiwa wanakaa wote itakuwa story za kweli