Samia ameuwa maelfu ya Watanzania.
Ameweka jela maelfu kwa kesi za uongo.
Tundu Lissu yuko jela kwa siku 400 bila kesi.
Kitu pekee Jaji Mkuu anaona afanye ni ajiteuwe kuwa mhariri wa maadili ya Gen Z.
Huu kama sio uwendawazimu ni nini?
Oktoba 29 kuna Jaji wa Mahakama Kuu alikamatwa na kuwekwa ndani na mapolisi wakidai ameandamana.
Alinusurika kupigwa risasi, baadaye kaachiwa.
Jaji Mkuu hayaoni haya masuala muhimu.
Amejiteuwa kuwa kiranja wa maadili ya Gen Z kumlinda Jaji Kiande.
Tuna shida sana!
Anaandika MALISA GJ.
Chugga mmetisha sana. Hebu fikiria chama kimetoka kufungiwa karibu mwaka mzima, lakini nyomi ni la kutosha. Na hapo Lema wala hajafanya promo. Amerudi tu nyumbani kusalimia washkaji zake. Hakuna aliyeletwa na lori, hakuna nyama choma, hakuna Wasanii uchwara, wala hakuna wanafunzi waliozolewa shuleni kwenda kujaza uwanja. Kila mtu ameenda kwa utashi wake. Asanteni sana "machalii wa chugga" kwa heshima hii kubwa. Hakika Chadema ndio chama kikuu cha siasa Tanzania. CCM bila Polisi haina tofauti na Uncle T. Beki hazikabi. Bata, Wahed 😂😂
‼️🚨 TANZANIA IS READY FOR CHANGE‼️
This photo was taken yesterday in Arusha at the rally of main opposition party @ChademaTZ2 which was ILLEGALLY barred from political activities since last year! The party has no funds and its properties incl vehicles and buildings were in bad shape but after announcing fundraising within 2 weeks they are back and have started public meetings calling for #freeTunduLisuu and reforms
This crowd was not bused in, neither paid! The people came on their own free will - members and non members ! This is proof that without #TanzaniaMassacre , Samia and CCM couldn’t have pulled off any sham election - so elections never happened! What happened was protests and mass killings - Samia Suluhu is an illegitamate president and Tanzanians are ready for change!
And this murderous cabal will soon learn that change is inevitable!
Hawa ni sehemu ndogo ya watanzania wanaotaka mabadiliko! Siku si nyingi huu umati utaamua usirudi nyumbani - maana kinachoendelea hakivumiliki - huu ukatili na dhulma utawaondoa hawa mafedhuli kwa kheri au kwa shari ila mabadiliko hayaepukiki!
#SamiaMustGo
1. Hakuna mtumishi wa umma, alielazimishwa kujaza uwanja la sivyo hana ajira.
2. Hakuna aliezombwa na mabasi na kulipwa akajaze uwanja
3. Kila aliefika hapo kafika kwa pesa yake, kwa nguvu yake, kwa mapenzi yake ya nchi yake
4. Kwa ushujaa, maana anajua kufika hapo ni kujenga uadui na wauwaji wa October 29,
@godbless_lema personally nakupa 80% mkutano wa leo. Hiyo 20% ni sababu nimeona hujaonyesha vizuri uchungu wa vifo October 29. Arusha waliuliwaaaaaaaaaaaaaaaaaa, vijana wa Arusha walikufaaaaaaaaaaaaaaaaaaa. Uwiiiiiiiii vijana wa Arusha waliuliwa na CCM jamaniiiiiiiiiiiiiiii @godbless_lema Najua unajua vifo vya Arusha ila unajaribu kuwa stable and strong for the sake of peace ila Watanzania wanhahitaji kuona uchunguuu wa October 29 kutoka kwa wanasiasa wao
Uwiiiiiiiiiiiiiiii,,,, mimi hadi kesho bado napiga ukunga kwa mauaji ya @SuluhuSamia na CHAMA CHA CCM aka chama cha mauaji!!!!!!!
Chadema ipo kazini,wale waliosema chama kinaelekea kudedi wanaumia sana wakiona hivi.Hili Trela,picha bado.
Tuendele kuchangia harakati za kupambania haki,katiba mpya na utawala wa kisheria.
Changia chama chenu kupitia Namba:0744 44 69 69 Jina CHADEMA HQ
Watu wa Arusha Mungu awabariki sana.
“Napendelea zaidi Mombasa kwa ajili ya kuanzisha kiwanda cha mafuta kwa sababu Mombasa ina bandari kubwa na yenye kina kirefu. Kenya pia ina matumizi makubwa na uchumi mkubwa zaidi. Mpira uko mikononi mwa Ruto, chochote atakachoamua ndicho nitakachofanya.” Bilionea Aliko Dangote
Leo katika harakati za kushughulika na MaCCM tulikuwa na mkutano mkubwa na mzuri wa hadhara ambao umefanyika viwanja vya Soko Kuu, Arusha Mjini na kuhutubiwa na @godbless_lema na @exmayorubungo na viongozi wengine wa chama mkoa na jimbo. Pamoja na mvua iliyonyesha watu wamegoma kuondoka na wamebaki wanakula nondo tupu. Narudia kuwaeleza, CHADEMA sasa ni imani ya watu siyo tu chama cha siasa. #nguvuyaumma #peoplespower
#FreeTunduLissu hoja zake za kutetea watanzania ndio zimemuweka Gerezani mpaka leo.
Kama mlikuwa hamtaki ushindani wa HOJA mngefuta vyama vingi tuwasikilizage nyie tuu.
"Lissu si mnavyofikiria, yuko tayari kufia jela [...] Alisema acheni nikae jela, sijavunja hata rekodi ya Mandela. Hata nikifia jela msiache kukipigania hiki tunachokiamini." - Godbless Lema, Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA
A very Happy Mother’s Day to all the strong women doing their best in their important role of taking care of their children. May God bless you abundantly 🙏
Nguvu ya umma ndo hii! Sasa machawa wachafu aka chihuahua wa mama watulie video hii hapa ya Arusha jana kwenye mkutano wa Chadema!
The game is over - tatizo CCM ya sasa wamebaki wapumbavu (si wajinga) ktk uongozi wao!
Kwa kheri kwa shari ila mwisho ndo umeshafika! #TutaelewanaTu #SamiaMustGo
Kuishi maisha ya haki si jambo gumu kuelewa, ingawa linaweza kuwa gumu kulitenda. Mara nyingi tunajua kilicho sahihi uaminifu, nidhamu, wema, uwajibikaji na kujitawala. Changamoto si kukijua kilicho sahihi, bali ni kuishi hivyo kwa uthabiti, hasa wakati maisha yanakuwa magumu au majaribu yanapotokea. Maisha ya kweli na haki yanahitaji nguvu, uvumilivu na wakati mwingine kujitoa sadaka. Ndiyo maana yanaweza kuwa magumu, lakini msingi wake unabaki kuwa rahisi.