@ReganTesla_@ondiekkanga Namba unayotumia kwa mawasiliano ndo iliyopo kwenye details zako za bank!? Ila walituma taarifa mpaka kwa email pia. Pole sana
@Addy_Adams Ukiona hivyo kahongwa (which is a good thing kwa mwanamke) hiyo gari ๐ ๐ ๐ . Ma hustler tunashuka kukagua gari Kama imeumia I take your number mambo yasiwe mengi, Kama haijaumia imeisha hiyo ๐ ๐ ๐ . After all itโs just a car sio ihai ule ๐
@MarekaMalili Aisee Iโm a good mother lakini niwe mkweliโฆ kwenye hili Iโm not perfect hata kidogo. Kuna muda nadhani hata mshahara ninaomlipa dada haumtoshi I wish nimuongezeโฆ. She is doing an amazing job aisee. Mungu amtunze binti Shio. Hili zoezi ni kipengele ๐ ๐ ๐ค๐
@raphyrodrick Nilipo realize kuwa sikuwa chaguo lakeโฆ it was just fun for him, gotta preg nikagoma kutoa. After that nikagundua he will never consider me as a part of his life licha ya kwamba we are having a child. So I gave up on him, taking good care of me and his child. Tushukuru kwa yote
@MarekaMalili Hakuna asiyependa mapenzi, Ila matukio ya kuumiza moyo yamefanya wengi tuchukie kupenda na kubaki kutimiza haja za mwili tu. But love is beautiful especially when you get someone who knows the value of love.
@__Ivy_Murphy @iamcleopatricia Kwani single mother sio mwanamke!? Why people judge us a lot!? Mnaamini Vp hao mnaooa na hamjakuta bikira!? Aliyetoa mimba 5 na kuwa na ex 10โฆ. na aliyeamua kuzaa mtoto wake akamlea na kupambania maisha! Yupi bora!? Men grow up acheni ushamba wa mwaka 47 ๐