@capprozza@mshambuliaji Vita ni vita hata kama ikija Kwa kijiko na kama wanaweza washambulia viongozi wote msibani na wakasmamisha mhimili wao Iran Basi hawataangalia madhara yakuwapoteza RAIA wasiokuwa na hatia
@LarryMadowo Many Africans agree with the values he stands for ... it's a language they understand ...the anti-lgbtq ,the anti-abortion,self reliance but agreeing on issues that align with our own values does not equal to love..
@BlackCarlos29@millardayo Tatizo alichukua U-turn nakuanza kusifia uongo na hapo ndo ilipo changamoto...mengine yote yatasahaulika Ila kukosa sauti kuwatetea watanganyika hapo ndo inaumiza ilihali tulimwona ni wetu kabisa.... simlaumu huenda mfumo nao ushamgusa pabaya ,Hana tena namna Kwa haraka
@Masstown_ Yaaani kiukweli sisi watanzania kitakachotutenganisha kwenye hizi dini ni ibada tu and nothing else....mm nikiona mpo kwa ibada mtanisamehe tu ndugu zanguni nitawapisheni muendelee na mambo zenu then will join again
@mcheleGeor6711@HildaNewton21 Ina maana hatuoni uongozi ulivyo mbovu,utekaji,elimu mbaya ,Katiba isiyomlinda RAIA wa kawaida bali mtawala ,uchaguzi usiokuwa wa wazi ,ukandamizaji wa vyama vya upinzani,juhudi zakutugawa kidini,kunadi Mali za Watanganyika pasipo kuwafaidisha Watanganyika.
@mcheleGeor6711@HildaNewton21 Huwezi tudanganya kwamba chanzo ni uwepo wa vyama Vingi ,wala udini hiyo imefeli maana rika linalodai Haki zao na za kwako pia halijali kabisa mambo hayo ya Dini
2.unatudharau WATANGANYIKA Kwa kiasi gani kutoana wote wajinga,vipofu tusiojua kwamba Uhuru wa kusema haupo,rushwa..
The Mau Mau weren’t ‘savages’ or ‘terrorists’ like Britain claimed. They were Kenyans pushed to the edge by land theft, forced labor, and colonial violence. When people have nothing left to lose, resistance gets labeled as madness instead of survival.
Ashleytheebarroness