@Minja39818371@Sativa255 Utateseka sana kaka washauri vijana positive ways angalau tujikwamue
Sssa umeanza kushauri watu wagonge vijiko na masufuria kweli sasa nimeamini kila mtu atacjanganyikiwa kwa wakati wake
@Sativa255 Halafu uansema unalitetea Taifa we huna akili na hata wanaokukubali ni mihemko tu na stress zinawatesa kuna watu mnatakiwa mtibiwe mna changamoto ya afya ya akili
@Sativa255 Changamoto yako kubwa ni namna unavyowasilisha hoja zako matusi ni mengi sana na unakosa nidhamu na ni ngumu watu wenye akili na busara kukuelewa labda watu wenye mihemko ndo qanakuelewa yaani wanaoendeshwa na Id sio wanaotumia super ego
@MariaSTsehai Sema lazima ufanye chochote hata kama ni ufala coz malipo yako ni makubwa kuliko gen z wengi maana hata bando huwa wanakosa wanavizia WiFi za bure
Sioni point hapo yenye maslahi chanya kwa vijana na Taifa unalosema unalipigania
@mangekimambi@StateDept@realDonaldTrump Ongea kwa kiswahili then hao international community wape na zile clip zenu za matusi dhidi ya viongozi tuone kama watakusapoti
@MariaSTsehai@UmojaWaMataifa Ila we mshangazi ni wa hovyo sijapata kuona ulafi wenu wa madaraka msituletee mnahamasisha maandamano mkiwa nje ya nchi njooni mtuoneshe pa kupita.