Dear God,
Please bless me with good health, strength, and peace. Heal every pain, remove stress and sickness, and renew my body and mind. Fill my heart with hope, courage, and faith each day. Protect my family and loved ones, and guide us in wellness and happiness. Give me restful sleep, calm thoughts, and the strength to face every challenge. Thank You for Your love, mercy, and healing power.
In Jesus’ name, Amen. 🙏
Usidharau, usibeze, wala usifanye mzaha na changamoto za wengine iwapo hujawahi kuzipitia
Maisha yakikubananisha kwenye kona na kukupiga vzr, unaweza kuwa wa ovyo hata kuzidi yule uliyemhukumu na kumkejeli
Bro, ukiona mwanaume mwenzio amejikwaa na kuanguka, usimcheke. Jifunze🫵🏽
Mwanaume Akishajua Tu anachokitaka Katika Maisha Yake Automatically Anageuka INTROVERT!
1). Muda Mwingi Anatumia Kukaa Peke Yake—KUFIKIRI
2). Anakuwa na Circle ndogo sana ya Marafiki
3). Anaanza Kutafuta MAARIFA
4). Anajitenga na DRAMA za aina Yoyote
Mtoto wako hawezi kurithi ajira yako-lakini anaweza kurithi biashara yako na kuikuza hata zaidi yako.
Lakini biashara unayojenga leo;
👉Inaweza kuwa ajira ya watoto wako
👉Inaweza kuendesha maisha ya familia hata baada ya wewe kutokuwepo
👉Inaweza kugeuka kuwa kampuni kubwa
Tabia za wanaume wa Daraja la Juu
1. Wanaepuka mabishano yasiyo na maana
2. Wanajiamini na hawaogopi kukataliwa
3. Hawaongelei watu, wanaongelea miradi, connection za michongo
4. Wanajipenda
5. Wanathamini familia na wazazi wao
6. Wanaheshimu mipaka ya wengine,
You’re a man.
Never sleep with a married woman.
Never sleep with your coworkers.
Never sleep with your friend’s ex.
Never sleep with your brother’s girlfriend.
Never sleep with a woman you don’t trust.
A night of pleasure can cost a lifetime of regret.