@mangekimambi Mimi binafsi nataka mambo haya yazungumzwe tufike mwisho. Hakuna namna tutafika bila kuzungumza. Matokeo ya hayo mazungumzo ndiyo sijui. Ila binafsi natamani kuona hali ya nchi inalejea katika hali nzuri kama hapo awali.
@godbless_lema Ila huyu mwamba Lisu ana moyo mweupe, ni ngumu sana kwa watu wakweli na wenye msimamo kwa kile wanachokiamini kueleweka na walio na makandokando, like vise versa.
@YerickoNyerereT Hivi wewe na wenzio mliwekeza kwa Mbowe au Chama? Kwamba wengine hawawezi kuongoza mpaka nyie mliokuwa upande wa Mbowe? Mnatupa mashaka sana kiukweli, Kuna agenda ambazo pengine wananchi hatuzijui?