Whatever result we get from Budapest, we’re heading straight to Bukayo Saka’s wedding 😭❤️
After that we attend Max Dowman’s graduation ceremony…
Then we come back and you show us your Premier League trophy.
Takribani saa 36 zimepita tangu Arsenal awe bingwa wa EPL, lakini mpaka muda huu hakuna timu yoyote ile ya EPL iliyoipongeza Arsenal kwa kuwa bingwa. Sio siri suala la Arsenal kuwa bingwa limewaumiza wengi mnoo, tena jambo hili litawatesa na kuwadhohofisha kwa muda mrefu sana.
#TajiriLakihaya
Hivi Man Utd hawawezi wakatuazima
CUNHA na MBUEMO wakatumbuiza wachezaji wetu pamoja na mashabiki siku ya parade pale London?
Inaonekana ni wanenguaji wazuri tu…
Winning goal in the Champions League final ✅
Winning goal to seal the Premier League ✅
From day one, we always knew you were destined to do great things, @KaiHavertz29 🖤❤️
Congratulations from all the Werkself family! 🥳
Hawa Watu wawili sio kwamba tumewasahau sisi kama Arsenal hapana tunawavutia kasi tu, labda tukose ndoo msimu huu 😡
Tuna mafail yenu mengi sana tena ya miaka na miaka, tuombe uzima