“Either wewe ni mwizi au umerithi otherwise ni ngumu kupata pesa ukiwa kijana” hiki ndio kitu kilichopo kwenye akili za wengi,
Ukweli unaoumiza ni kwamba pesa haina urafiki, undugu wala uhusiano na ujana au uzee
na watu wengi hawatofikia level ya kuwa financially free hata wakipewa nafasi ya kuishi 100 yrs,
na sababu sio kutokuwa na pesa(mtaji) au kukosa muda wa kufanyia kazi melengo,
Bali kutokana na tabia mbaya chache, ambazo nimezi-experience kwa macho yangu, sio kwa kusimuliwa wala kusoma kwenye vitabu na sio kwa mtu mmoja au wawili,
Kufika stage ambayo pesa unayoingiza bila kufanya chochote ni kubwa kuliko matumizi yako, stage itakayofanya uamue ufanye kazi gani, saa ngapi na kuwa na full control ya maisha yako ukiwa na hizi tabia ni haiwezekani, ukizi-fix kila kitu kinabadilika,
1. Kupuuza roadmap; hakuna ambae hajui kupata pesa inahitaji kuwa na maarifa, descipline, kuanza biashara, kufanya kazi kwa bidii, kuitathimini kila leo umeitendea haki kiasi gani, wote tunajua mafanikio hayahitaji kuendekeza ulevi, ngono, betting, kubweteka,etc
2. Kuongea na kupanga sana na sio kuanza; vitu unavyosema utaanza kufanya tangu January mpaka leo tuu ungekuwa umeanza tayari ungekuwa sehemu tofauti na ulipo leo, na tatizo ni kutaka everything to be perfect ndio uanze na kutaka kuanza vitu ambavyo huna what it takes,
3. Kukaa kwenye mazingira ambayo sio sahihi na kuzungukwa na watu ambao sio sahihi; badala ya kukimbizana kutafuta watu unaona ni sahihi, build value and your potential first, wewe uwe mtu sahihi kwanza,
4. Kufanya kazi kwa bidii lakini kwenye vitu, biashara, au kazi ambavyo sio sahihi, sehemu ambazo hata ukifanya kazi kwa bidii kiasi gani malipo hayawezi ku-grow exponentially
Bila hivi vitu, utaaminishwa na utaamini kwamba unatakiwa uwe mwizi, at the end uoga wa kufa masikini unaweza kukufanya ufe kijana au uishie jela,
au uishi kwa kuamini one day yes, Mungu atajalia, wakati Mwenyezi Mungu ameshaweka principles za maisha kuwa ukifanya xyz utapata matokeo gani,
nimeshakuwa kwenye stage ya kukosa buku mfukoni so naelewa mambo ni magumu lakini impossible is nothing and it’s never too late to start 💯
Happy New Week
Vitabu Pekee Duniani Vilivyokatazwa na Kupigwa Marufuku Gerezani ni Vile Vilivyoandikwa Na:
“ROBERT GREENE”
Kwasababu hiyo—Nadhani Ndio Vitabu Vya Kusoma Zaidi Kuliko Vyote Duniani!
PS: Kuwa Makini Sana na Vitu Vinavyokatazwa—Kuna SIRI Hapo
Kwenye Marketing & Copywriting Kuna Kitu Kinaitwa—“AWARENESS Level Ya Audience”
Usipokielewa Hicho Kitu Haijalishi Wewe ni Genius Kiasi gani Kwenye Marketing ni Ngumu Mno Kuandika UJUMBE Utakaouza Bidhaa/Huduma Yako!
PS: Kila Soko Lina UJUMBE Wake!
Nunua Simu ya 3M -Kila mtu atakupongeza na kukuita mjanja
Same Amount wekeza Shambani, Trading etc -Kila mtu atakaa kimya waiting on your downfall
WATU💔🙌
Working for someone else may not be true freedom, but if it’s a step you need to take, make it count. Use that time to learn, grow, and build.
Work for them today—but never stop preparing to work for yourself tomorrow.
- @cr_xniper 📊
Ulivyoorodhesha ni vitabu vya amateur readers; soma
-The Blank Slate
-Zus spoke Zarathustra
-Beyond good and evil
-Brothers Karamazov
-The Selfish Gene
-Capitalism and Freedom
-Road to serfdom
-Being and Time
-Wealth of nations
-Being and Nothingness
-The Prince
-Atlas Shrugged
@amrisaly "Badala ya kufatilia distractive contents na kupost memes tuongeze focus kwenye mapambano kwa ajili ya kutengeneza leo na kesho bora kwa ajili yetu, familia na generation kiujumla"
Mwenye masikio na asikie ✍️
Kuna baadhi ya watu waliokuzunguka ni kama mawingu; wakiondoka tu, maisha yako yanang'aa
Na kuna baadhi ya watu waliokuzunguka ni kama jua; ukiwapoteza tu maisha yako yanaingia gizani
Choose wisely!!
Concrete isn’t just poured, it’s crafted, perfected, and powered into place with SCHWING. Explore concrete Mixers and pumps that don’t just deliver but redefine construction.