@DannyFpl@EmmanuelMa30199@ze_mandevu Ahaha. Kuna matukio ni unique 😂
Kama memories tu za kukumbukwa unazo nyingi.
Ulikuaga unasubiri watu waingie Chapel watulie then unaingia na Skuna zako zinapiga Kelele mbaya, unasogea mpaka katikati pale unapiga goti kimo Cha Kati bila kugusa Chini 😂. Then unarudi kukaa 😂
@DannyFpl@EmmanuelMa30199@ze_mandevu Ahaha. Mpondo
Nimekumbuka Kuna Siku tuko Morning Assembly ukacheki Kushoto na Kulia hamna Rector, Father wala Mwalimu, ukasogea mbele na kiti chako wakati Tolu anaongea ukaweka kiti pembeni yake ukapanda ili umwambie kitu. 😂
Peter's life was amazing