@Wakazi Nimmemuonea huruma atakua gen z huyu alikua ndo star uliowataja wanamfata nyuma washika pochi haijui nembo ya kiraka huyu ukishua ndo ulimponza watoto wa dar katikati hawanaga haraka na maisha mkoani wananjaa kakilize sauti manka simba wa africa hii leo alikua anasikilizwa gk tu
@YerickoNyerereT Inashangaza chama kilichokufa kinafatiliwa zaidi...hata kama walifanya makosa kususia uchaguzi ila kuna hatua kubwa wamepiga sasa kila mtanzania anaelewa maana ya reforms