@MiriamMkanaka Usitegemee hata sku moja mwanaume akakuambia changamoto zake...inachukuliwa kama kufeli na mda mwengine mnatumia kama silaha baadae...utakuta mtu kajiinamia hapo...ukimuuliza jibu ni...."NIKO POWA"
@Officialsantan8 ni sawa....long time nilikuw naanza kadio namaliza na weight....kuna mwana akanishtua naenda wrong....now naanza weight kunesa namaliza na cardio....naona kabisa mabadiliko ya haraka