@TeamYouTube My formal appeal for Erevuka TV (UC-wrBuiq-0qge1bSZW3E8iQ) was rejected by an automated system. I’ve maintained a clean 12-year history since 2014. The issue was an honest mistake during a live stream test. Can a real specialist please review my case?
@TeamYouTube Hi, my channel Erevuka TV (UC-wrBuiq-0qge1bSZW3E8iQ) was terminated today for Spam policy after testing live stream software. I have a clean 12-year history. I've submitted an appeal form. Could you please help manually review it? Thanks!
Nina taarifa za uhakika kutoka kwa watu waliokamatwa na kubambikiwa kesi za uhaini fake.
Hii imekua njia ya watu wa serikali kujipatia kipato..
Tarime kuna watu wametoa fedha laki tano mpaka milioni 1 kununua uhuru wao.
Lakini kuna watu wana majeraha makubwa Bado wanashikiliwa kwenye vituo vya polisi na mahabusu za magereza..
Hali hiyo iko Shinyanga, Dar, Mbeya, Arusha na Nchi nzima..
Kilichoitwa msamaha limegeuka biashara za watu.
Kwasasa pia kila mtu akikatwa polisi wanamtishia kumpa uhaini na wengine ili kujiokoa wanatoa fedha.
Utawala umefitinika.
John Heche,Makamu Mwenyekiti CHADEMA
Mmoja wa vijana aliyehudhuria ziara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana Mhe. Joel Nanauka mkoani Songwe ametoa wito kwa viongozi wanaomsaidia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa na ujasiri wa kusema ukweli na kutoa maoni chanya kwa manufaa ya wananchi.
Aidha amesisitiza kwamba uongozi bora haujengwi kwa makofi pekee, bali kwa kumuelekeza Rais katika njia sahihi inayogusa jamii.
Katika ziara hiyo vijana walipata nafasi ya kuwasilisha maoni yao juu ya namna Serikali inaweza kuendelea kuboresha ushirikishwaji wao katika maamuzi pamoja na kuongeza nguvu katika mikakati ya kuwawezesha kiuchumi kupitia mifumo, mikopo na mitaji inayolenga kuboresha maisha yao.
“Urais ni taasisi, sio kichwa cha mtu mmoja kinachojua kila kitu mnapoona panayumba acheni tu kupiga makofi, mshaurini Rais twende hapa dunia imebadirika jamani,” alisema kijana huyo.