"Huyu mama nimemshangaa" 🤣
KANISA KATOLIKI linagonga sana Spana wazee.
Hili kanisa nimechelewa sana kulijua mimi MMOROVIANI.🤣
KWANZIA SASA MIMI NI MKATOLIKI. "Ndege wafananao wanaruka pamoja".
#TUTAKUWEPO🫵😎
Hii ni damu ya @mdudenyagali baada ya makazi yake huko Iwambi, Mbeya kuvamiwa na watu waliojitambulisha ni polisi. Walibomoa mlango wa nyumbani kwake na kuingia ndani wakiwa na silaha za moto. Watu hao wamempiga na kumvuta chini damu ikimwagika kuelekea pahali kusikojulikana.
.HATUKO SALAMA ?
Nimepokea habari Usiku huu kwamba Jeshi la polisi Mbeya limefika nyumbani kwa Mdude Mpaluka Nyagali .
Baada ya kufika wamevunja mlango na kuingia ndani na kumpiga wa kitumia vitu mbalimbali na kumjeruhi na baadaye kuondoka naye.
Huu ni muendelezo wa kukithiri kwa vitendo vya wanao onekana wakosoaji wa Serikali kutendewa kinyume cha Sheria na Kuumizwa.
Tunalitaka Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kuhakikisha kuwa Ndugu Mdude Mpaluka Nyagali anakuwa salama na kuhakikisha wanampatia matibabu stahiki.
Tunakemea na kufuatilia jambo hili kwa ukaribu kuona haki ikitendeka.
Boniface A.K Mwabukusi
WAKILI.