Ushike hela, halafu zipotee ghafla na watu wako wapotee, ukizishika tena sidhani kama utakua mjinga tena 😄
Yaani watasimuliana namna umekua na roho mbaya.
Niliwahi kumuuliza Mzee mmoja wa makamo kuwa, “Ni ushauri gani angewapa vijana kuhusu maisha?”.
Akasita kidogo na kusema, “Kama ningeweza kurudisha miaka nyuma na kuwa kijana, huu ndiyo ushauri ambayo hata Mimi ningeitumia....
Ningekuwa ‘Honest’ kwangu mwenyewe. Ningejiandikia barua, ‘A letter to my Future Self’.
Ambayo, ningejipambanua Mimi nataka kuwa nani na kufanya vitu gani. Ningeanisha changamoto, fursa, magumu na mapito ambayo yawezekana kukumbana nayo.
Kisha ningechukua hatua madhubuti kumuishi yule ninayemtazamia na kufanya yatakayonifanya kuwa huyo, bila kuogopa nitaonekanaje. Ningemkumbatia, maana ndiyo iDENTITY yangu halisi.
Hivyo, kwa kila kijana namshauri achonge KINYAGO chake mapema kuwa anataka kuwa nani na kufanya nini. Kwani, mara nyingi tunajuta siyo tu kwa vitu tulivyofanya bali kwa vile ambavyo hatukufanya, tukiwa na nafasi na muda”.
Mwisho wa kunukuu.
Ile hali ya kutofahamika inawapa status fulani.
Movies za kijasusi zilinidanganya nikaamini hawa jamaa ni majitu fulani yenye akili nyingi, wanaenda watu smart tuu.
Wanacontrol kila kitu, wana agenda kali sana kuhusu nchi, baadae nikajua ni polisi waliopigwa msasa na polish.
mke kagombana na mmewe asubuhi,Kavunja vunja vitu,godoro kalikata kata 🙌Mume hakusema kitu kaingia ndani katoka na kibegi kidogo kaondoka zake kazini,kamuachia bi dada na hela ya kula,Sasa mpka mda huu mume hajarudi,Mke akipiga cm haipokelewi na sio kawaida ya mume kuchelewa..
Kuna jamaa anaitwa Maswanya alikuwa ni Mkurugenzi wa Tigo kanda ya ziwa akateuliwa kuwa DC Mbozi siku ya kuapishwa hakutokea akapigiwa simu akasema hawezi kutokea anawahudumia wateja wapo dukani (what audacity) sijui kama Magu alimwacha vizuri 🙌🙌🙌🙌
LOVE YOU FAMILY , wao ndio wanajua wapi umetoka, magumu uliyopitia, na hatua za kimaisha ulizopiga not these online strangers.
Huhitaji any validation kutoka kwa watu ambao hawajui how it all started.
Kama unataka kusherekea hatua zako ulizopiga, FAMILY is a right place.
Jamani tembeeni meet new people,share life experiences ndio utakuja kugundua some people have endured the worst.
Kuna muda unaweza kucomplain kuhusu maisha yako kumbe you are blessed and better kuliko watu wengi sana.
Be grateful,appreciate the gift of life.
Kati ya vitu wanawake wanavimudu vizuri ni kwamba wanajua kununa 🙌🏼🙌🏼😂
Yaani mpaka uje uone tabasamu lake tena basi umekaa kwenye mstari mwenyewe bila kuambiwa neno. Unapigwa mnuno tuu 🤣🤣.
watu wakikueleza ukweli ukaukataa kwa upande wako lazima uone ni chuki au wivu,lakini ukikubaliana nao itabaki kuwa walikueleza ukweli na ukawaelewa...tusichanganye neno chuki na kuelezana ukweli
Ee Mungu, asante kwa hatua ulizonisaidia kufikia.
Nitie nguvu niendelee pale hamasa inapopungua.
Nipe nidhamu kuliko hisia za muda, nishinde vishawishi, nikumbuke kusudi langu, na nibaki katika njia njema. Niongoze hadi ukamilishe kazi njema uliyoanza ndani yangu.
Amina.🙏🏼