@huncho_smile Mwaka 2015 nilikutananao maeneo ya ubungo plaza karbu blue peal kuna doctor wanamtafuta yupo shekilango kuna hosptal walinitajia nikawa siijui na walikuwa wanamtafuta kwasababu mke wake alienda huko Tanga kutibia kwa mganga alaf me nilikuwa naenda kuweka hela kama mil 7 hv...