*Naongea na wewe dada wa chuo usietaka kusoma ili ufaulu vizuri unasubiri uzuri ukuvushe course work sasa utalala na malecturer wangapi module zenyewe kwa semester moja tuu zipo zaidi ya nane kaza acha kupoteza utu*
Don lose focus maisha ya mtandaoni ni tofauti na maisha yetu ya kawaida usiamini kila unachokiona .Kuna watu watsap status tuu inawapoteza malengo hujachelewa bado Tukaze.
2026 usiamini yeyote hasa marafiki zako Kuna level za maisha wamekuwekea na kukutabiria ukivuka mstari wao jua watakutengenezea chuki vuka mwaka kmy kmy
Zamani niliogopa kupoteza watu lakini kwa siku hizi za hivi karibuni naogopa kupoteza muda wangu kwa watu ambao hawastahili kuwa sehemu ya maisha yangu
@MwanzoTvPlus@ChademaTZ2@HecheJohn Vyama vilivyoshiriki vimekubali wewe shoga la tarime hamjashiriki chochote unakataa si nyege mshindo za kujitakia hizi