Lakini mie naona hakuna shida kuwekeza iwapo mtu ana biashara inamuingizia kipato Kwanini asiwekeze kwenye Hisa au bond Sio kila mtu anaweza kufanya biashara wengine wawe wanunuzi tu.
Wakati unanunua Hisa za 500k.
Wenzako wanaichukua hio 500k wanaingia chimbo huko maporini kusaka fursa.
Halafu wanakuuzia illusion ya kua "unaweza kua mmiliki kwa kununua shares za 500k".
Yaani uimiliki taasisi kubwa kama NMB kwa shares za 500k..!๐ซฃ
Ilihali huna hata umiliki wa mashine ya kukamulia Juice ya miwa.
Huna mradi wowote wa uwekezaji..
.zaidi ya smartphone yako hio ya kufuatilia trend ya NMB kama leo imeshuka ama imepanda, ununue.
Halafu kesho na keshokutwa utakuja hapa kuwauliza mnatoa wapi hela..!๐ซ
P.S. Mali ipo shambani "Ukiitaka Mali Utaipata Shambani".