👨🏽🎓Namshukuru MUNGU kwa kila hatua haikua rahisi lakini pia najua hatua niliopiga wengi walishapiga lakini kwangu ni hatua ya kipekee.
#48IFM2022
Time to chase the dream of my life...Computer Scientist💻
🙏🏼..ALHAMDULILLAH ✨🔥
@salymdev Nimeombwa 300k toka mwaka jana mwezi wa 11 mpaka Leo naiwaza kuitoa jana kanikumbusha alafu mpaka tukazinguana.....namwambia nimfungulie biashara hataki😂
@salymdev Mfumo wa maisha na msingi wa mtoto wa kiafrika haumpi nafasi ya kua anachotaka kua ....labda mtu ukaze na upambane kweli kweli ndo maana wengi tunasoma vitu sio michongo yetu..aidha kwa kulazimishwa na watu wetu wa karibu au umezingua unaona bora niingie huku..tatizo kubwa hili