Nimempoteza BRO WANGU MDUDE kwenye hizi harakati.
Leo kwasababu ya Njaa zangu nianze kujali tumbo langu nikatishe tamaa watanzania ambao wanaamua kuandamana kumpigania ndugu yangu?
Mimi miaka miwili nahudhuria clinic za TAYA yangu kwasababu ya KUPIGWA RISASI YA KICHWA—mnajua gharama ngapi naingia kujitibia?
Leo kwasababu ya njaa zangu nianze kukatisha tamaa watanzania wenzangu walioamua kuandamana kunipazia sauti kukataa haya mambo ya KUTEKA NA KUPOTEZA WATANZANIA?
Mimi sina BEI kwenye haya mapambano, bei yangu ni HAKI itendeke, kinyume na hapo NITANYOOKA NA NYIE MPAKA NAKUFA.
Nipo tayari kuishi mafichoni milele.
Nipo tayari kuendelea kuishi kwa mashaka milele.
Nipo tayari kuendelea kuishi kwa tahadhari milele.
Haya yote ambayo yananiumiza leo nipo tayari kuyageuza kuwa maisha yangu ya milele ila najua siku moja USHINDI UNAKUJA.
Kwahiyo ndugu zangu MAANDAMANO YA 7/7 NAYAUNGA MKONO ASILIMIA 200–HII NCHI LAZIMA TUIKOMBOE TUANZE UPYA.
#77Tunatoka
#FreeTunduLissu
#TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Hi guys, I need a huge favor. Naomba msaada wenu mkubwa.
Hili tangazo ni la maana sana, siwezi kuelezea kwa kina sasa hivi ila baadae nitawaelezea. Ila ni process ya kupata account zangu za meta (instagram na Facebook)
Naomba mnitumie posti yoyote ile ya Mmarekani yoyote yule, mweusi au Mzungu ambae kawahi kuandika posti yoyote ile akiikosoa serikali ya Tanzania na posti hiyo haikufutwa au kuchukuliwa hatua na meta, posti lazma iwe kwenye mitandao ya instagram au facebook sio humu X.
Sio lazma awe Mmarekani au mzungu, hata awe mweusi ila sio Mtanzania ila awe anaishi hapa Marekani au hata nje ya Marekani.
Yani kwa kifupi posti za foreigners haswa wazungu wakiikosoa serikali ya Tanzania.
Naomba mnitumie kupitia whatsapp +1 424-537-3057
Nina swali, wale wapuuzi waliokuwa wanapush maridhiano kati ya Watanzania na wauwaji wa CCM wana la kusema kwa sasa????
Wanaharakati tulipokuwa tunayakataa maridhiano tulijua wauwaji hawako tayari kwa maridhiano ya kweli, wanachotaka kwenye maridhiano ni legitimacy na uwezo wa kuwazodoa international community kwa kuwaambia, msituingilie sisi tumeshafanya Maridhiano na tume heal.
Tuliambiwa likikamilika BWAWA la Nyerere;
1. Umeme utakuwa wa UHAKIKA.
2. Umeme utakuwa wa bei nafuu.
3. Tutauza umeme nje.
Bwawa limekamirika miaka miwili sasa hakuna hata kimoja kimetekelezeka zaidi saizi tupo gizani NCHI NZIMA.
Tumerudishwa zama za MAWE.
Haya ndio madhara ya kuwa na WABUNGE ambao hawategemei KURA ZA WANANCHI.
Huyu ni AHMED SHABIBY akiamuru mwananchi akamatwe AKAFIRWE badaa ya mwananchi kupiga simu kuulizia mambo ya maendeleo kwenye jimbo lake.
Hawa ndio wanafadhili WATEKAJI kama wakina MAFWELE wanatembelea magari ya MABILIONI kwasababu wanazo ajenda zao za KUTEKA wananchi wanaomiliki AKILI TUMAMU.
Kudadeki walahi, hata swali kashindwa kuelewa. Dah!
Hakuulizwa kama Tanzania iko kwenye vikwazo, alichoulizwa ni kwamba, Russia iko vikwazo je Tanzania inatafaya vipi biashara na Russia ambayo iko kwenye vikwazo? Je Tanzania itafanikiwa vipi kuzunguka vikwazo hivyo vya Russia na kufanya biashara?
Alichojibu form 4 failure alieiba Urais kwa kuua wananchi zaidi ya elfu 10, Tanzania haiko kwenyw vikwazo. Dah!!!!!
Mamaenu kaenda URUSI kutafuta mishahara yenu kuweni wapole “MAMAENU NI MSIKIVU”
hizi kelele za kulia kukosa MISHAHARA ndio kwanza zinaanza—kuna njaa kubwa inaingia bongo haitaelezeka. Damu za ndugu zetu alizokwaga DIKTETA JIKE zinaendelea kunena.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Tukipata UKOMBOZI wa taifa letu tutaanza na hawa watatu watuambie NDUGU ZETU wakiwauwa wanawazika wapi.
Hawa wanayo majibu ya MAUWAJI yote yanayoendelea Tanzania. Hawa ndio wamechagua kutumika kama CONDOM ya DIKTETA JIKE.
MTATUPA MAJIBU SOON.
Wakati DIKTETA jike anaingia madarakani baada ya JPM kufariki aliwahi kusema “NCHI imekuwa kisiwa” akimaanisha JPM aliongoza vibaya (KIDIKTETA).
Leo yeye DIKTETA JIKE yupo URUSI baada ya dunia nzima kumkataa kama maiti ya FARAO.
🚨BREAKING NEWS
TAARIFA NJEMA KWA WATANZANIA.
Kamati za mambo ya nje na ya maendeleo wamepiga kura na kupitisha azimio la kuitaka tume ya Umoja wa Ulaya (EU commission) isitishe msaada kwa serikali ya Tanzania.
Kamati zimepitisha kwa kura za KISHINDO ndiyo ni kura 81, kura moja ya hapana na kura 4 kuharibika (hawakupiga kura).
Huu ni USHINDI mkubwa kwa watanzania wote wapenda HAKI. Huwezi kuua maelfu ya wananchi alafu ukaendelea kutawala.
Mungu wetu ni mwema!
Sasa azimio linaenda kupigiwa kura na Bunge zima la Ulaya - ikipita hapo ndio KWISHA HABARI YAO.
MWAGA MOTO MWINGI KAMA MADRAGON WANANGU🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
REPOST 200
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Watanzania ndugu zenu wanapambana huku kwa ajili yenu.
Msaada wa Marekani tutaupata. Acha huyo muuaji akimbilie kwa Putin ila msaada tutaupata.
@Liberatus80@tausilikokola aiseee nyie viumbe wawili siku mkirudi TZ itabidi mbebwe juu juu.
Unfortunately I couldn’t make it Ila next time na mie nitatinga huko Bungeni. Tatizo langu moja tu, I’m still too emotional juu ya October 29, nikianza kuwahadithia kilichotokea sichelewi kujitupa chini huku napiga ukunga wa kiswahili. Nikifika sehemu Naweza kuongelea October 29 bila kulia mpaka kwikwi nitakuja. Ila ahsante sana kwa mwaliko @tausilikokola , next time nita accept.
Watanzania these are our national heroes @tausilikokola@Liberatus80
Sasa tutaona Samia na Putin kama wataweza kushindana na Watanzania na Marekani…..
Ndugu yetu DJUMBE alitekwa na JESHI LA POLISI hilo halina mjadala.
Leo MURILO ameitisha press kukamata wachina wanne kuhusika na UTEKAJI-wachina hao kati ya wawili walikuwa na PINGU SAWA na zile alizokutwa nazo ndugu yetu DJUMBE.
Tukiuliza nani anatakiwa kumiliki PINGU kihalali ndani ya nchi yetu hatupewi majibu wanatuambia “WANACHUNGUZA”. Hawa wapumbavu kama utaamua kuwaamini wewe waamini ila HAWA NI WATEKAJI namba moja kubali kataa.
Watanzania tumpotezeee Mwigulu Nchemba. Asitutoe povu wala kupandisha pressure. He is a lost cause.
Mwigulu Nchemba anajua Samia akidondoka na yeye amekwisha….
Makamu Mwenyekiti wa #CHADEMA, John Heche kupitia ukurasa wake katika Mtandao wa X ameandika hayo Aprili 26, 2026 ambapo aliambatanisha na kauli iliyotolewa na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa alipoeleza kuhusu namba yake binafsi ya simu kuchapishwa kwenye Mtandao na kuhamasisha Watu wamshambulie.
Fuatilia mjadala huu kwa kubofya https://t.co/UbWK2lkldX
#JamiiForums #JFMatukio