@TOTTechs 3.Mahitaji ya Soko la Ajira: Sekta nyingi zina mahitaji makubwa ya wafanyakazi wa kiwango cha diploma, kama vile mafundi umeme, mafundi magari, wauguzi, na wataalamu wa IT. Kupitia diploma, mtu anaweza kujitosheleza kwa mahitaji ya soko kwa urahisi
@TOTTechs 4. Uwezo wa Kujiajiri Mapema
5.Kupunguza Hatari ya Kushindwa Mitihani ya Advanc: Advanced Level inahusisha masomo magumu na ushindani mkubwa, hivyo mtu anaweza kuamua kuchukua diploma ili kuepuka hatari ya kushindwa na kupoteza miaka miwili alafu akaja rudi diploma