@citizentvkenya@RashidAbdalla@hassanmugambi Mheshimiwa Kj tungeomba uangalie ii barabara ya kutoka wanye close inayotokea mtindwa ni mbovu sana alafu mataa yote kwa hilo njia hayawaki na pia siwage inasumbua sana katika hili eneo , tutashukuru ukishugulikia maswala haya