Lazima uwe juu ya mke wako na vitu 3
1. UMRI
2. MAARIFA &
3. PESA
Mkeo pia lazima awe juu yako na vitu 5.
1. UVUMILIVU
2. USAFI
3. UPENDO
4. KUPANGA &
5. MAOMBI
Na mnapaswa kuwa sawa kwenye vitu 3
1. MAELEWANO
2. UVUMILIVU &
3. HESHIMA
Hapa Mnaishi Hadi Kufa na Kuzikana !
Makosa 10 watu wengi hufanya wanapoomba / kufanya maombi.
1. Kuomba kitu ambacho hawako tayari kukibeba.
Watu wanaomba pesa, lakini hawana nidhamu ya pesa.
Wanaomba mapenzi, lakini hawajajipenda.
Maombi haya hayakataliwi, yanaahirishwa hadi pale utakapokuwa tayari.
THREAD 🧵
WASAMEHE WAZAZI WAKO.
Sio kwa sababu hawakukosea, bali kwa sababu walikuwa wanatoa kile walichokuwa nacho. Wao pia walikuwa watoto waliokua bila kuponywa. Walilelewa na hofu, ukimya, ukali, au kutothaminiwa na wakarithi hiyo kama “kawaida.”
THREAD 🧵
Sometimes tunasamehe watu sio kwa sababu wanastahili, sio kwabsabau sisi ni dhaifu, sio kwa sababu walijieleza vizuri au waliomba msamaha kwa wakati sahihi. Tunasamehe kwa sababu tunastahili kuishi kwa amani.
THREAD 🧵
Kuna siku utavuka hili jaribu na hizi shida unazopitia sasa, na siku hiyo utanikumbuka. Utakubaliana nami kuwa hakuna kilichokuwa kinatokea kwa bahati mbaya. Kila kitu kilikuwa kinatokea kwa sababu, hata vile vilivyokuumiza zaidi, hata vile ulivyoviita mikosi.
THREAD 🧵
SIKILIZA HII KAMA WEWE CANCER, SCORPIO, PISCES
Kuna vitu unavihisi ambavyo huwezi kuvielezea.
Na mara nyingi unajiuliza, “kwanini mimi nahisi hivi sana?”
Lakini ukweli ni kwamba haukuzaliwa kuwa mgumu. Ulizaliwa kuwa deep.
Unabeba kumbukumbu kwenye moyo, sio kichwani.
THREAD 🧵
Kile ambacho hakikukusudiwa kuwa na wewe, kitakuumiza mara nyingi mpaka uelewe. Kitakukatisha tamaa tena na tena, si kwa sababu wewe hutoshi, bali kwa sababu kinakusukuma uache kushikilia kitu ambacho hakilingani na roho yako tena.
THREAD 🧵
Hisia usizozitoa hazifi. Unazizika ukiwa hai, na baada ya muda hurudi zikiwa zimeharibika zaidi. Maumivu usipoyalilia hubadilika kuwa ganzi ya moyo. Vitu ulivyovumilia bila kusema hubadilika kuwa hasira ya kimya. Matarajio yaliyovunjika hugeuka uchungu.
THREAD 🧵
Mara nyingi tunaishi kana kwamba maisha ni kitu cha baadaye. Tunavaa mavazi tunayoyapenda mara chache, tunatunza perfumes zetu kwa ajili ya siku maalum, bila kujua, tunakuwa tumeamua kuahirisha uhai wetu wenyewe. Tunajidanganya kuwa bado kuna muda.
Thread 🧵
Kama umekuwa ukitamani kutengeneza akaunti yako ya PayPal iliyo verified lakini unashindwa, huu ni uzi bora kwako
Hakikisha unasoma mwanzo mpaka mwisho
Shuka na thread 👇
PS: Usisahau kurepost kwa watu wengine wapate kujifunza
Kama unatafuta majukwaa ya kufanya kazi ndogo ndogo mtandaoni na kupata $2 mpaka $5 kwa lisaa pitia hapa
PS: Unaweza kutumia simu au laptop
Repost & Thread 👇
80 animation movies🔥🔥🔥🎬
Which one is missing?
1. Rango
2. Migration
3. Tangled
4. Kung fu panda series
5. Coco
6. Frozen
7. Toy story
8. Zootopia
9. Luca
10. Encanto
11. Ratatouille
12. Puss in boots
13. Teenage mutant ninja turtles
14. Moana
15. Despicable me
16. Cars
17. Shrek
18. Up
19. Smurf
20. Hercules
21. How to train your dragon
22. Prince of egypt
23. Mummy
24. Aladdin
25. Beauty and the beast
26. Cinderella.
27. Sleeping beauty
28. Ice age
29. Madagascar
30. Red beast
31. Turning red
32. Princess and frog
33. Tarzan
34. Minions.
35. Incredibles
36. Raya and the dragon
37. Onward
38. Little marmaid
39. Hotel transylvania
40. Brave
41. The imperors new groove
42. Mulan
43. Enchanted
44. Anastasia
45. Rio
46. Megamind
47. Snow white and seven dwarfs
48. Boss baby
49. Pocahantas
50. The angry birds
51. Corpse bride
52. The secret of pets
53. Peter pan
54. Chicken run
55. Home
56. Turbo
57. The croods
58. Luck
59. Epic
60. Pinocchio
61. Ice age
62. Addams family
63. Mavka the forest song
64. Bad guys
65. Trolls.
66. Wish dragon
67. Vivo
68. The spongebob
69. The last airbender
70. Godzilla
71. Earwig and the witch
72. The booka of life
73. Abominable
74. Nimona
75. Lion king
76. Coraline
77. The monkey king
78. Ruby gillman
79. Back to the outback
80. Klaus
Dear Men,
Mwanamke sahihi anaweza kuwa dira ya mafanikio.
— Anakupa utulivu wa akili
— Anakupa sababu ya kufanya kazi kwa bidii
— Anakusaidia kupanga, kutafakari, na kukaa kwenye mstari
— Anakua na wewe, sio dhidi yako
Lakini mwanamke asiye sahihi anaweza kukufanya uharibike haraka kuliko adui Yeyote.
— Anakuvuruga kifikra
— Anakutoa kwenye malengo yako
— Anafanya maisha yako yakose mwelekeo
— Anakutia hasara ya muda, pesa, na amani
Choose Wisely.
Mfalme Daudi alipotumia madaraka yake kuzini na Bethsheba—mke wa raia mnyonge Uria—kiburi cha dhambi kilimchochea kukimbilia kuficha dhambi kuliko kushughulikia matokeo ya hatia yake. Dhambi huja na ‘busara’ zake. Busara hizo zikamwelekeza Mfalme Daudi kuja na mpango wa amani wa kumpa Uria Mhiti ‘ofa ya kurudi nyumbani kwa mapumziko mafupi.’ Daudi alitaka Uria alale na mkewe wakati wa vita. Daudi alitaka maridhiano na uhalifu wake. Daudi alitumia amani na Uria kama mkakati wa siri wa kufunika dhambi.
Uria, kwa upande mwingine, hakujua kinachoendelea nyuma ya ofa ya Mfalme. Dhambi ilikuwa imetendeka gizani wakati yeye akifanya kazi ya kizalendo kulipigania taifa lake vitani dhidi ya Waamori. Kwake, Uria, kulala na mke wake wakati nchi iko vitani ilikuwa usaliti mkubwa kwa wapiganaji wenzake. Uria alikuwa anawawaza wanyonge wenzake wanaopambana na Waamori wakati Mfalme Daudi anawaza namna ya kufunika dhambi yake na kulinda heshima ambayo hata yeye mwenyewe anajua hakuwa nayo.
Uria aliukataa mpango huo wa amani hewa wakati akijua wazalendo wenzake wanapambana na Muamori. Kukataliwa kwa mkakati huo wa kufunika dhambi kulichochea vibaya mno kiburi cha Mfalme Daudi na kumwingiza kwenye uhalifu mbaya zaidi. Daudi aliagiza Uria awekwe kwenye vikosi vya mbele ili ale jeuri ya uzalendo wake. Kweli mnyonge Uria aliuawa na mfalme akaamini amepoteza ushahidi na angeishi kwa amani na mke wa Uria.
Hapo ndipo Nathan, kiongozi wa dini, alipojitokeza na kusimama kwenye nafasi yake kumkemea vikali Mfalme Daudi. Nathan alinyoosha maneno kuwa, “Mungu anaenda kukuvua nguo.” Kilichomuokoa Daudi ni ule moyo wake wakukubali ametenda dhambi, kujuta na kutubu. Daudi hakuendelea na propaganda za kuzimisha sauti ya kiongozi wa dini anayepigania haki ya mnyonge asiye na yeyote wa kumtetea.
Tunachojifunza hapa ni kwamba Mungu siku zote huwa upande wa mnyonge. Dhambi dhidi ya mnyonge huwa haiachani na wewe mpaka ukubali aibu ya kuikiri na kuijutia. Mungu akikupenda anakupa nafasi yake pili kwa kukuletea mpaka Nathan akuonye. Ukishupaza shingo ukakwepa aibu ya kukiri dhambi lazima ule matokeo ya dhambi. Kilio cha mnyonge hakiendi bure.
[kwa simulizi kamili rejea 2 Samweli 11:1-27; 12:1-23]
Unapambana sio kwa ajili ya kushangaza watu, bali kuondoa laana ya umasikini.
Na hiyo mission haihitaji shangwe, inahitaji utulivu, maombi, na consistency.
Ukiwa kijana unayepambana kwa moyo huo, fahamu — Mungu huwa anasikia kilio chako.
Endelea kupambana usiache.