MTANZANIA TAPELI MIKONONI MWA USALAMA MAREKANI.
Unajua hili ni tukio la kweli lilitokea miaka ya 2000 humo miaka hii vijana wengi wa kitanzania walikuwa wana ndoto za kuzamia na wengine kwenda ughaibuni hasa Marekani na wengine South Africa kutafuta Maisha.
Ila wengi wao walitumia ujanja wa Kuomba visa ya masomo, nikimaanisha mtu anadanganya anaenda kusoma ila akifika anaingia class miezi kadhaa then ana drop out na kuendelea na michongo mengine.
Hii pia ilimkuta mshakaji huyu nitampa jina la Eric(sio jina lake halisi)
Baada ya kufanikiwa kupata visa na kuingia👇
Shuka Nayo ⤵️
Simba walionesha nia yakutocheza mechi dhidi ya yanga baada ya kufanyiwa fujo walipoenda uwanjani kufanya mazoezi (kitendo cha simba kugomea mchezo hakufanyika hapa) - kuonesha nia sio action
Yanga wakasema Simba walipaswa kutoa taarifa ili Yanga kama mwenyeji awaandalie mazingira na awe na taarifa kua wageni watakuja
Bodi ya ligi na TFF wakaahirisha mchezo (Simba na Yanga hawahusiki katika maamuzi haya)
Bodi ya ligi ikasema watakaa kamati kujadili kisha watakuja na repoti na maamuzi (mpaka sasa kimya au hawajakaa??)
Ninaposhangazwa ni kua Yanga badala ya kudemand maamuzi bodi na tff ili wajue sasa majibu ni yapi wao wanakazana kusema game hawatacheza na kuwashutumu na simba wakati simba nao ni wahanga kwana namna moja au nyingine sababu nao wameishitaki yanga kwa bodi na tff kua iliwazuia kufanya mazoezi na ikawafanyia fujo
Yanga ilipaswa waforce bodi na tff watoe majibu hadharani ya kilichotokea na kananuni zinasemaje kuhusu sakata lile ili tujue nani alikua na makosa na nani alikua sahihi then maamuzi yafanyike baada ya hapo sasa ndio wangekua huru kusema kwa maamuzi haya sisi hatutacheza au kupanda ngazi za juu zaidi kudai haki kama wangekua wanaonewa same to simba
TFF na Bodi ya ligi nao kukaa kimya kunaleta walakini maana ni zaidi ya siku 40 sasa wapo kimya au wao ndio wenye makosa??! kama wao ndio wenye makosa kwa kuahirisha mchezo bila kufuata utaratibu na kanuni na sheria pia tujue wao wanakua accountable vipi??
Tunawaza mchezo tu ila watu waliopata hasara tumewasahau kabisa na sijui wao watasemewa na nani?!