Wengi hawakudhani yanayotokea lakini sasa tunaona. Viongozi wazuri na wenye mapenzi mema na nchi wapo, tuvushe mama @SuluhuSamia. Hakuna asiyejua nchi inahitaji kutibu majeraha na kwako imani yetu itaimarika. Mungu azidi kukupa busara na hekima, endelea kutupenda nasi tunakupenda