Kwenye list yangu ya gari 7 ngumu za binafsi (kibongo bongo) nazani hii itakua ipo kwenye top 3-6. Very solid 🪨
Yes, haivumi saana lakini hauwezi ukaikuta imetaka ama kutelekezwa garage
Tuangalie mawili ma3 kuhusu hii gari inaweza kuwa kwenye list ya gari zako pia
UZI 🧵🔥👇🏽
“Mimi siwezi kuwakashifu au kuwazungumzia Wakenya vibaya, wamenilea kimziki na kunisupport sana. Utofauti wao na Mama Samia sijajua nini chanzo. Lakini niwaambie tu ukweli kwamba Kenya wamepiga hatua kubwa kimaendeleo na kidemokrasia wanajielewa sana,” - Alikiba