WADOGO ZANGU WA KIUME: Umepata kabinti unaona kabisa anakufaa kufanya nae maisha usisubiri mpaka uwe “vizuri” ndio umalize. Nenda kwao wakutambue na uombe baraka zao na muanze kuishi pamoja. Nyumba yenye baraka za wazazi huwa inafunguliwa milango ya rizki kwa haraka zaidi.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi pamoja na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Balozi Dkt. Asha-Rose Migiro mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere tarehe 06 Juni, 2026 baada ya kuhitimisha Ziara yake ya Kitaifa, St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026 kufuatia mwaliko wa Rais wa Nchi hiyo Mhe. Vladmir Putin.
Jana Kijana wangu Gio kaanza safari rasmi ya Kiimani kupitia Kanisa Katoliki la Mitume.
As a Father ni jukumu langu kushiriki kumuanzishia safari hii muhimu ambayo ndio software ya kuwa mtu na Mwanajamii bora.
His name is Nathaniel, "God Given" 🙏🏼
Pumzika Jenister Joachim Mhagama
Pamoja na kumbukumbu nyingi nilizonazo juu yako leo nitasimulia chache. Urafiki wetu ulianza kwa kugombana tena ugomvi mkubwa, nikiwa Katibu Mwenezi wa CCM Taifa na wewe ukiwa Katibu wa Wabunge wa CCM. Hukupenda msimamo wangu mkali dhidi ya Serikali na mimi sikupenda msimamo wako wa wastani dhidi ya serikali na hii ilipekea tusielewane kabisa kwa muda kadhaa.
Leo nimekumbuka kaseti ya nyimbo za kizalendo uliyoachiwa na baba Marehemu Mzee Moses Nnauye( kamsalimie ukimuona, mwambie tungo ya nyimbo zake za kizalendo hazijapata mshindani).
Sasa nani ataniletea zile soseji kubwa za Peremiho lakini🙆🏿♂️😭😭! Itoshe kusema ulikuwa mtu mwema. Ile kazi ya kuniombea kanisani umemwachia nani?? Nasikitika umeondoka mapema kabla hujaona ile ndoto uliyoota mwaka 2017!! Pumzika Malkia wa Peramiho!
Nakumbuka nilipokuja Bungeni Mwaka 2015, ukaniuliza “Nape sasa unaelewa Kwanini nilikuwa nachukua msimamo ule uliotugombanisha?, Nikajibu “Mama nakuelewa sana sasa”!! Hapa na pale nilipokuwa napandisha kidogo msimamo, ulinirudisha kwa upendo ambao sitasahau malezi yake. Aagh nakumbuka ulipotufungia ofisini mimi na Bashe..!! Uliipenda kazi yako!!
Mama unakumbuka siku ulipoamua kukaa na mimi ili kunisaidia tupitishe Bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wakati huo?? Nikiwa sijui taratibu kabisa hata za kufafanua vifungu, ukanambia, “Nape hakuna anayezaliwa akiwa anajua, utajua taratibu!!”
Kama binadamu unaweza kuwa ulikuwa na mapungufu yako kama ilivyo kwa binadamu yeyote aliyezaliwa na mwanamke!, lakini umetimiza wajibu wako kwa nchi yako. PUMZIKA JENISTER JOACHIM MHAGAMA.
Timu ya wataalamu kutoka TCU, DarTU na MUST imefanya semina ya mrejesho leo tarehe 24 Oktoba 2025 ikiwa ni sehemu ya Mradi wa HAQAA3 unaolenga kuboresha mifumo ya udhibiti na uhakiki wa ubora wa elimu ya juu barani Afrika.
Semina hiyo imeongozwa na mabalozi wa HAQAA3 kutoka TCU, DarTU na MUST, ambapo viongozi na wadau mbalimbali wa chuo walijadili matokeo ya awali ya utafiti uliofanywa kwa wakuu wa idara, wakurugenzi na viongozi wa wanafunzi.
Washiriki wamejengewa uelewa wa kina kuhusu African Standards and Guidelines for Quality Assurance (ASG-QA) na wameahidi kuendelea kuimarisha utamaduni wa kujitathmini na kuboresha ubora wa elimu MUST.
MUST itaendelea kushirikiana na wadau wake kusimamia kwa ufanisi utekelezaji wa mapendekezo yaliyotolewa ili kuendelea kuwa mfano wa taasisi bora katika ubora wa elimu ya juu.
Sasa mmeelewa kwanini Tundu Lissu alikuwa anataka hii kesi ifike Mahakama Kuu! Anachokifanya Lissu ni kuonesha 'link' kati ya vyombo vya dola & Chama tawala. Lissu ana EXPOSE uozo wa mfumo mzima. Lissu anaonesha Umma kuwa hii nchi IMEOZA & inaongozwa na CRIMINALS. TAL ni 🧠.
KILA mtu amepewa assignment yake na Mungu hapa duniani. Hakikisha unaifanya assignment yako kwa unyenyekevu na kwa uaminifu mkubwa. Inawezekana assignment yako ni kumsaidia mwingine atimize assignment yake. Fanya assignment yako kwa uaminifu. Utaulizwa.
Kama huijui assignment yako, fanya kila jema na la haki linalokuja mbele yako. Smile. Hiyo ndiyo assignment yako kwa sasa. Usisubiri. 🤗😄🙏
Jumamosi yenye baraka kwako.
Wizara ya Elimu nchini Ethiopia imetoa Mwongozo mpya unaopiga marufuku Viongozi wa Serikali na viongozi wa Kisiasa nchini humo kutunukiwa Shahada za Heshima (Honorary Doctorate).
Agizo hilo ambalo limetiwa saini na Waziri wa Elimu Nchini Ethiopia Profesa Berhanu Nega kuwasilishwa kwa Vyuo vikuu na taasisi za Elimu nchini humo limezitaka taasisi hizo hususa ni Vyuo ambavyo Wanafunzi wake hawajahitimu angalau awamu nne na havitoi Shahada ya Uzamilivu havitoruhusia kutokoa shahada ya Heshima.
Mwongozo pia unaeleza kuwa Shahada za Heshima zinaweza kutolewa kwa raia wa Ethiopia au Wageni waliotoa mchango wa kipekee katika taaluma au nyanja zao za kazi. Tuzo hiyo inaweza kutolewa kwa mtu mmoja au kikundi kilicho hai au kilichofariki, mradi kimekidhi vigezo vilivyowekwa.
Aidha kuna masharti ya vizuizi Kifungu cha 2 Ibara ya 10 kimeeleza kuwa wafanyakazi wa kudumu wa vyuo vikuu, wajumbe wa Seneti au miundo ya uongozi hawawezi kupokea shahada ya heshima wakati bado wako kazini, isipokuwa pale ambapo uhusiano wao rasmi na chuo hicho umeisha na pia viongozi wa serikali walioko madarakani hawataruhusiwa kuteuliwa kabisa.
Sambamba na hilo kwa mujibu wa masharti ya mwongozo huo chuo kikuu kitakachotoa shahada ya heshima kinapaswa kuwa kimehitimisha angalau wanafunzi wa awamu nane, kinatoa kozi ya PhD, kinakubalika kwa viwango vya kitaifa na kimataifa na kutokana na masharti haya, vyuo vipya kama vile Selale, Dembi Dolo, Mekdela Amba, Raya, na Debarak havitaruhusiwa kwa sasa kutoa shahada za heshima.
#MillardAyoUPDATES
Serikali ya Muungano wa Tanzania inapigana kuzima matangazo ya moja kwa moja ya kesi dhidi ya Tundu Lissu. Alivo sema Lissu mwenyewe, Haki Gizani si Haki! Ni lipi wanataka kuficha zaidi ya identity ya wale mashahidi ilivoamriwa pale awali? Demokrasia hufia gizani, na ni jukumu la wana demokrasia wote kusisitiza uwazi!
@HecheJohn