Huyu dada wa Kyela FM anatakiwa aje mjini, head hunters wa radio kubwa fanyeni namna.
Alinipigia verse moja ya Chid Benz na ile ya Dizasta ilikuwa noma kabisa.
Juzi bhna kwenye uni colleague show ya Charles mtasha kuna janja kashinda laptop anaitwa KAJUNA. Janja ni pre form 5,ni genius kweli kweli alikuja na hesabu yake
0÷0 =2 😂😂watu wengi walimbishia lakini janja aliprove na kuwaambia musikariri 🔥🔥
Video clip kwa chini hapo
💨PICHA YA KUMTUMIA X WAKO😂
Weka Gemini hapo 😁
Use my selfie as the main reference and maintain 100% of my facial identity (face shape, hair, beard if any, skin tone and natural features). Do not alter my features.
Create an ultra-realistic image inside a modern luxury car.
Scene:
I am sitting in the driver's seat of a Mercedes-Benz C300 AMG, with interior trim in wine/coffee brown leather. The dashboard is modern with large digital screens, multimedia system playing music and active GPS.
Photo taken from the back seat of the car
The car has an open panoramic sunroof, showing blue sky and trees in the background.
Posture:
I am turned slightly towards the camera, serious and intimidating expression, holding the sports steering wheel with one hand and taking off my metal-framed aviator-style glasses with the other hand.
Clothing:
(white linen shirt with 3/4 button sleeves and black shorts), classic dark glasses, thin leather bracelet and coffee brown wristwatch
Lighting:
Natural light entering through the sunroof, sunny daytime weather.
Visual style:
Hyper-realistic photography, high definition, sharp details, realistic skin texture, natural appearance, no AI-like effects.
Ultra realistic photography, natural lighting, luxury lifestyle, high detail, sharp focus, realistic skin texture.
A DRUG DEALER
Huyu ni bro wa makamo nimempa jina la Mkali kutokana na kazi yake(sio jina lake halisi)
Mwaka 2013 kuna jamaa aliamia mtaani kwetu na kujenga nyumba yake haraka sana na kuisha
Nakuamua kuhamia na familia yake ila kutokana na nyumba kuwa kubwa na nafasi alimleta
Niko salama,
Akili yangu inafunguka
Kupokea ukweli mpya sasa.
• Nachagua kutuliza mwili wangu.
• Nachagua kupumua kwa utulivu.
• Nachagua kuziachia hofu zote.
Kadiri ninavyotulia,
Akili Yangu Ya Ndani Inanisikiliza Zaidi.
Kila pumzi ninayovuta inanijaza nguvu mpya.
Kila pumzi ninayotoa inachukua mawazo,
yote ya zamani yasiyo nihudumia.
Ninaruhusu akili yangu kuamini kwamba
ninachotamani kinanikaribia kwa urahisi.
• Ni salama kwangu kutamani makubwa.
• Ni salama kwangu kupokea makubwa.
• Ni salama kwangu kuishi makubwa.
Kila siku, bila hata kujitahidi sana,
Akili yangu inajifunza jinsi ya kufanikiwa.
Kila neno ninalotamka sasa
linakuwa mbegu kwenye akili
yangu ya chini ya fahamu.
• Ninachagua kupanda mbegu za utajiri.
• Ninachagua kupanda mbegu za afya.
• Ninachagua kupanda mbegu za upendo.
• Ninachagua kupanda mbegu za uhuru.
Kila “NDIYO” ninayosema kwa ndoto zangu,
inafuta “HAIWEZEKANI” zote za zamani.
Kwa wagonjwa wa bawasiri “hemorrhoids”
🌿Chukua majani ya kutosha ya mmea wa Lantana camara
🌿Yaoshe na uyasafishe vizuri
🌿Chemsha kwa dakika 15
🌿Kunywa glasi moja asubuhi, mchana na jioni
📌Kama bawasiri imetokeza kwa nje fanya zoezi la “stiz bath”
- Chukua kiasi cha dawa yako
- Weka kwenye beseni
- Kaa ndani yake kwa dakika 10 hadi 15
- Fanya zoezi hilo asubuhi na jioni
- Kila baada ya zoezi hilo pakaa mafuta ya mnyonyo
Kwa muda wa siku 7 hadi 14 bawasiri itapotea iwe ya ndani au ya nje.
Ukishindwa Sogea Dm/whatsaap 0680114218 upate package ya Bawasiri
Sogea kwenye channel yetu upate madini
Follow the Mizizi Herbal channel on WhatsApp: https://t.co/8NRoMnhVQs
Mdharau asili
hufa kikatili
Hii nili save nayo nimeangalia leo
Hii Documentary nayo kali sana 🙌.
Ndomana watu wa Congo hawataki kurudi kwao.
Congo ni matajiri sana vita haviwezi kuisha.
Umetisha sana @kalage_jr
Hatimae leo hii nimeiangalia nili save hii 😃.
Aisee hii documentary kali sana 🙌.
Yan KM 70 wanasafiri siku mbili 😭.
Safari ya boti KM 1730 wanasafiri mwezi mzima 😭😭😭😭
Naombeni nyingine kama hizi fupifupi nazo niangalie.😁🙏
@INFLUENCERjr umetisha
( Watoto Wameshalala ) #Thread
Watu Wengi Wakisikia Ujumbe
Kama huu huanza kujitetea.
Lakini...
Ukikaa nao kimya,
Ukaufikiria kwa umakini,
Uaweza Kutoka na Jambo...
Kama Utanipa Sekunde 60 hapo ulipo
Nitahakikisha... Unatoka na Kitu
Twende Chap chap...👇🏻 🧵