Kuna Mambo mengi sana kwenye Maisha, Mimi siyajui. Lakini Moja tuu ninalo lijua mimi, Ni ๐๐ช๐๐จ๐๐ ๐ฃ๐ ๐๐๐ฉ๐ช ๐๐๐ฏ๐ช๐ง๐..โ๏ธ
Chukua wazo Moja. Lifanye Hilo Wazo kua ndo Maisha yako. liwe ndoto yako na uliishi Hilo wazo. Acha ubongo, misuli, neva na Kila sehemu ya mwili wako ijawe na Hilo wazo na uachane na mawazo mengine. na hii ndio njia kuelekea mafanikio...โ๏ธ
#SwamiVivekananda
Kuna vita kubwa sana Kati ya ๐๐ธ๐ถ๐น๐ถ na ๐๐ถ๐๐ถ๐ฎ zako, Lakini ili uwe Salama Hakikisha ๐๐ธ๐ถ๐น๐ถ Ina shinda..โ๏ธ
Usimcheke Mtu katika Mambo haya; ๐จ๏ฟฝ๏ฟฝ๐ต๐๐บ๐ถ, ๐ก๐ฑ๐ผ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐ ๐ฎ๐น๐ฒ๐๐ถ ๐๐ฎ ๐ ๐๐ผ๐๐ผ. haya Mambo kumnyokea mtu ni Bahati. Mwenzio akiyumba usimseme vibaya Wala kumkejeli Maana Muda wowote yanaweza kuku badilikia hata kwako yakaenda hovyo...โ๏ธ
Maisha hayataki utani aisee, Unapata pesa unakula Kuku, Siku ya pili unakula mazao ya Kuku (Mayai,Firigisi,Utumbo...) Siku ya tatu unakula chakula Cha Kuku (Mahindi,mboga za majani...) Siku ya nne Unakuwa kama Kuku ni mwendo wa Kuzurula tuu Mtaani โบ๏ธโบ๏ธ