Heri ya sikukuu hii Wakulima wote nchini. @ethecotz Tunaungana kuwapongeza wakulima wote kwa juhudi, ugunduzi na uwekezaji katika kilimo ili kuleta maendeleo ya kiuchumi kwa Taifa letu.
#NaneNane2024
We extend our warmest wishes to all Muslims, May this sacred month bring peace, prosperity, and spiritual growth to the community. Ramadan Kareem to all!
08.03.2024
Afisa Mradi wetu Ndugu Mendrad Mtewele wa Mradi wa #KESHOBORA alifanikiwa kukutana na uongozi wa serikali kata ya Gubali iliyopo wilaya ya Kondoa kwa ajili ya kutambulisha rasmi mradi huo wenye kulenga kutokomeza tatizo la kukatiza masomo kwa wanafunzi.
#KESHOBORA
We join the nation to mourn the passing of the 2nd President of the United Republic of #Tanzania, H.E. Alhaji Ali Hassan Mwinyi. RIP Hayati Ali Hassan Mwinyi
29.02.2024
Afisa wetu Bi. Sarah Bukuku wa mradi wa #MazingiraSalama akiwa na nguvu ya kutosha kukamailisha tukio la upandaji miti katika shule ya sekondari Kiluvya.
#MazingiraSalama#GreenSamia
Utafiti unaonesha 65% ya wanafunzi huacha masomo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo kutokujitambua, kutokuwepo kwa mazingira rafiki ya kusomea pamoja na suala la malezi kwa wazazi. Wilaya ya Kondoa katika mkoa wa Dodoma nayo ni moja kati ya wilaya zinazokabiliwa na tatizo hil
Empower The Community kupitia mradi wa #MazingiraSalamaKwaKizaziEndelevu tunameandaa programu maalumu ya upandaji miti ya matunda katika shule ya msingi kiluvya iliyopo wilaya ya Ubungo. Lengo ni kuhamasisha utunzaji wa mazingira na lishe bora mashuleni.
#
Today, on International Day of the Girl Child, we come together to celebrate the limitless potential, strength, and resilience of girls all around the world. ๐ช๐ง
๐ Every girl deserves access to quality education.
๐ฅ Every girl deserves access to healthcare.
๐ฌ Every girl deserves a voice that's heard.
Let's break down barriers, challenge stereotypes, and create a world where every girl can dream, achieve, and thrive. ๐ซ
Join us in the #EmpowerHer. Share your stories, your dreams, and your support for girls' rights.