"Hakuna ukoo wa familia iliyoteuliwa na mungu kuongoza wenzake ni lazima watu waridhie kikatiba na kisheria" DR KITIMA
Haya mambo hatupaswi kuyasahau tunapojadili watu kujitawala, mwenye nia ya kutawala anatakiwa apitie kwenye mchakato huru na wa haki wa kuridhiwa na wananchi.
@swahilitimes Ni bahati mbaya bungeni viongozi ni bidhaa adimu na inajitokeza kimachale kama madawa ya kulevya. Wengi ni masela na ndo wanaowekwa Frontline kupropagate upuuzi. Ulinganifu huu tokea lini umekua njia sahihi ya kupima kiwango cha ongezeko la bei nchi kwa nchi?
Toka 29 tuko kwenye vita kali sana ya kisiasa iliyojaa hisia nyingi na uchungu(hadi kukoseana heshima). Tunapoibadili vita hii na kuwa vita ya uchumi binafsi baina yetu vijana tunapoteza direction zaidi na wanufaika ni wachache na wanafurahia(huyu atabet,huyu atafanya hiki but lengo ni hela hakuna ajira tuheshimiane but tuwe kwenye mstari mmoja-kuikomboa nchi),sio kila ukweli lazima usemwe mwingine unauacha watu waje washuhudie wenyewe(binafsi nimejifunza hilo), tupishane mawazo but tusipoteze direction... Kijiti kwenu Gen Z💪
Mmeua Watanzania wengi kuliko alioua Nduli Idd Amini..
Bado mna ujasiri wa kujaribu kufinika haya Mauaji kwa kutishia watu…
Kuna mambo hayawezi kufunikika na kila mnapojaribu kufunika hili jambo ndio manaharibu zaidi.