@YerickoNyerereT Kampaini za KIGAMBONI ZINAENDELEAJE?
UNAISOMA NAMBA AU UNAWASOMESHA NAMBA?
WAKO MBELE KWA MBELE AU WEWE NDO UKO MBELE KWA MBELE?
π€ͺπ
@millardayo Huyu si ndo akina LUVANDA, LEMUTUZZ(MAREHEMU) walikuwa wanamjaza upepo siku moja kwenye UKUMBI?
Lemutuz:wagogo ambao ni wajanja tuko watatu tu;mimi (lemutuz), Ben paul na MC pilipili.
Maisha bhana. Yaache tu ποΏ½οΏ½οΏ½οΏ½ππ
@zittokabwe Kwa namna mlivyoona kwenye harambee ya juzi ya MBOGA MBOGA
Kuna namna rasilimali hizi zinaweza kutoka mikononi mwa hawa watu ambao 90% wanaofiwa kujimilikisha?
Je, wanaweza kukubali watu kuwapindua kwenye sanduku la kura?
Je, wanaweza kuachia madaraka?
#NRNE only can!!!
@YerickoNyerereT@rungwesr Karoho kanakuumaaaaa!!!!
Kelele zote zile na post zote zile tangu mwakajana, umeruka kiunzi.
TUNAMSUBULI UCHAGUZI UISHE MTAFTE NJIA YA KWENDEA