@godbless_lema Lema ULIKOSEA na UMEKOSEA kuandika vile, mosi maelekezo alipewa Heche na sio wewe, lakini mbili mbona Heche hakukimbilia kutuma salamu huku?
Don’t use the bible to justify your wrongs, maana biblia hiyo hiyo inasema katika Isaya 5:20: usiite ubaya kuwa wema.