@salim_alkhasas Mifumo feki inasaidia wao kupita bila kupingwa, ni woote wanaangalia tu urahisi wa kujiweka, hakuna Nia ya dhati ya utumishi. Amini kwamba zikifanyika reforms hakuna ambaye angesogeza pua!
@MarekaMalili Tatizo sio mbunge, ishu ni katiba iliyonyooka kwenye misingi. Wapiga kura tuelimishwe uwezo wetu na sio kuwa vyawa kwa chumvi na tisheti. Anachaguliwaje?
@IAMartin_@SuluhuSamia@Dr_DGwajima Wakati wadau wamesema Binti kajiua, walidakia fasta kuwa "Yuko hai" na Yuko mikono salama anauguza majeraha ya mwili na akili. Mtu kahaba anayejiuza ana haja ya kujificha kuuguza afya ya akili?? Wale Vijana miongoni mwao ni yule mwehu wa kambini kabisa kwa details .... Nyieeeπ
Je, huwa una tabia ya kuchunguza mkojo au kinyesi unachotoa unapoenda haja ndogo au kubwa!?
>> Kama ulikua hufahamu, chukua hili
>> Baadhi ya matatizo ya kiafya huanza kuonyesha dalili za awali katika mkojo au kinyesi chako, na hili unaweza kuligungua kwa
Repost for others