@Sativa255 What should a business owner do if he notices a low demand for his products. Should it invest in advertising, price leading or simply blame the government? If for example the government gives each citizen TZS. 20,000,000 will buyers demand the products more?
@TonnyAdamms@Sativa255 What do you mean by "wasteful government spending leads to inflation?"; So you mean carelessly spending of money by any Economic agent leads to inflation
Riba ya soko isiyo na hatari hupatikana pale benki kuu inapotoa hati fungani ya muda mfupi. Wawekezaji(taasisi na watu) watafanya zabuni kwa kuwasilisha asilimia mbalimbali za faida wanazotaka. Serikali itachambua mikopo yenye gharama nafuu mpaka kiasi wanachohitaji.
Kwenye nadharia ya "Efficient market hypothesis" bei ya hisa ya inayoonekana DSE inafanana na bei ya kweli(intrinsic value) ya hiyo hisa kwa sababu taarifa mbalimbali zinachakatwa kila sekunde kuakisi kusawazisha hizo bei
In the chaotic, unpredictable business world everybody loves to have plenty of money enough to shield them from the consequences of losses. Who a billionaire cares about risk estimation if they know that losing a few million bucks in risky projects does not impact their wealth?
@assengajrr@assengajrr Inaonekana umebeza maana ya taasisi mkuu. Kitendo cha mtu kuweka mawaidha Tiktok lazima aanzishe taasisi ndogo kwa ajili ya hiyo kazi. Taasisi ndiyo ngazi inayotambulika hata kiutawala na vitu kama leseni nk. Nakosa maneno ya kueleze lakini msingi wa uchumi ni taasis
Hi @Benji_Fernandes and @Eric__Bernard
Using nominal exchange rates to adjust for changes in prices like wages is wrong economically. The correct way is to adjust for the rate of inflation and make adjustments to the worker's salary or wages.
πΉπΏ Mtu aliyekuwa analipwa TSh 5,000,000 mwezi Desemba 2025 na bado analipwa TSh 5,000,000 leo (1 Juni 2026) amepunguziwa mshahara.
Kimya kimya.
Desemba 2025: 1 USD = 2466 TSH
TSh 5,000,000 = ~$2,028
Leo, June 1 2026: 1 USD = 2610 TSH
TSh 5,000,000 = ~$1,915
Ili ubaki na thamani ile ile ya mshahara wa Desemba, leo ungehitaji kulipwa karibu TSh 5,294,320.
Maana yake umepoteza karibu:
β TSh 294,320 kila mwezi
β TSh 3.5 milioni kwa mwaka
Bila kupunguza mshahara wako.
Bila kubadilisha kazi.
Ndiyo maana watu wengi duniani kwenye nchi mbali mbali wanaanza kuhifadhi sehemu ya akiba yao kwenye USD na stablecoins. - Yaani USDC AU USDT.
Sio kwa sababu wanapenda usd.
Ni kwa sababu hawataki pesa zao zipungue thamani.
Mimi naona kuna fursa kusaidia watu kununua tbills / UTT au public market stocks Tanzania ili waweze kupunguza hasara.
Soko la hisa la bongo bado ni changa sana.
Kwanza halina usanifu wa taarifa(information efficiency). Kuna kampuni za uma zinafanya kazi kiholela lakini utakuta bei za hisa zake zinapanda. Pia unakuta wanahisa hawaiwajibishi bodi ya wakurugenzi. Mtendaji mkuu/CEO hajiuzulu
@EliabuDanford That is the idea behind the credit theory of money advocated by the Economist Joseph Schumpeter. Benki hata ikiwa haina pesa kwenye safe(vault) zake inaweza ikakopesha kwa kuandika digit kwenye mfumo wa computer.
Kwa kawaida kila mtu anajua benki iwe na deposit for loaning.
@scottmelker In reality Banks lend money out of thin air. Even if they temporarily run out of deposits they will still give loans. This idea was proposed by Schumpeter in his credit theory of money
@godbless_lema@godbless_lema Kazi ya benki kuu ni kusimamia macroeconomic stability sio kumaximaze capital gains through asset price appreciation. If your logic were true the central bank would hold oil futures, tech equities, & real estate. Central banks manage liquidity, risk & stability.