During my school days back in the days, this song was like an alarm for the school going children as radio stations ( Radio Tanzania and RFA) used to play it very early in the morning, every day... memories are still fresh in 2021 ๐ฐ @rollymsouth@CarolNdosi@JMakamba@mpambazi
"UNPD hawawezi kushinda uchaguzi huu, hakuna muujiza. Sasa wameamua kutumia โmbinu ya ๐น๐ฟ.โ.. Zambia si ๐น๐ฟ Hii ni Zambia
Wale wanaofikiri wanaweza kuingiza katika nchi hii mbinu inayofanya kazi ๐น๐ฟ, hawawezi kufanikiwa kamwe."- Brian Mundubile. Mgombea Urais kupitia kupitia NRPUP
Tunafundishwa kutokata mahusiano na watu kwa sababu huenda tukawahitaji siku za mbeleni. Lakini maombi yangu Kwa Mungu ni kutofika mahali ambapo nitalazimika kumtegemea mtu aliyewahi kuniumiza au kunidhalilisha.
Upate Mwanamke wako mmoja mzuri,Mweupe kiasi,Mwenye heshima,mwenye kukusupport,Asiekua na tamaa na maisha ya wanaume wengine unakua umefanikiwa kishenzi.!!
๐จ๐๐๐๐๐๐
Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka akaunti rasmi ya Ballon dโOr, mchezaji yeyote anaweza kushinda tuzo hiyo hata kama anachezea klabu nje ya Ulaya.
Uthibitisho huu umetolewa ili kuweka wazi kuwa hakuna kizuizi chochote kilichokuwepo tangu mwaka 2007.
Hii inamaanisha kuwa wachezaji wanaocheza katika ligi mbalimbali duniani, ikiwa ni pamoja na Amerika, Asia, Afrika na sehemu nyingine, wana nafasi sawa ya kutwaa tuzo inayotambulika kama moja ya heshima kubwa zaidi katika soka la kimataifa. ๏ฟผ
#MeaMswahiliUPDATES