Unawaamini ndugu wanakushangaza, Unawaamini marafiki wanakuonesha kitu kipya, Unamuamini mpenzi unakuonesha nini Maana ya Dunia, Hii ndio atua inafikia Mtu anaamua kuwa yeye pekeake tu. Halafu mnaanza kumuona Ana roho Mbaya.
Mwanamke Pekee ambae unaezakula pesa zake ni MISHANGAZI tu.. Hawa Wengine Sijui Single Mother, hawara na nk.. Bro ukila ata Buku utasimangiwa Mpaka uitapike..😉
@BillyTronix1 Na Ukiangalia Matandao Kuna push nyingi za kuonyesha Israel 🇮🇱 majengo yake yalivyoharinibiwa.. Ila Iran 🇮🇷 Huzioni
Ila ukoangalia izo Post nyingi fake