@millardayo Kama ilivokataliwa tume ya uchunguzi mpaka inapiga bit watu watoe ushirikiano, ni vivyo hivyo na tume ya maridhiano itakavokataliwa nayo itapiga bit kulazimisha watu kuridhiana! Bila uwajibikaji maridhiano ya kweli hayatakuwepo tusahau
@Jolebatawi_Tz@HarryGodfirst Yaani unamuua mtu uliyedhani alitaka kukudhuru afu unaenda kumwambia ndugu yake pole kwa kufika, na ulisema anastahili kufa
@HabarimpyaTv Mbona huyu ni setup kabisa, huyu katumwa kufanya anachofanya, haiwezekani media zote hizo et zipo serious zinamfata aongee hayo na wanayaandika. Wakati juzi tu hapo Jaji Warioba kaonge alikuwa na media moja tu