Binti yangu mdogo ,safisha Choo chako vizuri ,anika chupi juani,jisafishe sehemu zako za siri na maji safi bila makolokolo yoyote ,kunywa maji yakutosha ,usikae na pedi muda mrefu,kua muaminifu kwenye mahusiano yako,kisamaki utakisikia redioni.
Ukiona ninamtaja Mungu kila sehemu haimaanishi mimi ni mtakatifu sana lakini mambo aliyoyafanya Mungu kwangu nashindwa kunyamaza aisee lazima nitamshuhudia kila ninapopata upenyo wa kufanya hivyo