always a winner... dream big, work hard and smarter, stay humber. Learner and achiever exploring life.... loving my country my people.... hating cowards
@HildaNewton21 Hapa Kuna somo la kujifunza wale ni wachache waliofanikiwa wamewasilisha wengi ambao hawakuweza kufika....let them sit and watch if possible to resign to heal many.. na sio ujinga Kuna resign
Makonda ukimtaja ni kama umemtaja shetani π€£π€£
Eee basi basi!
Leo ndo wamejua watanganyika tukiamua hatutetereki!
Serikali haramu imekataliwa LIVE π₯
Ndo nasema #TutaelewanaTu
Mwanasiasa asiye mwanaharakati ni tapeli anayesaka tonge kupitia kauli-mbiu na utam ulishi wa vyama. Mwanaharakati ana lake jambo la kulisimamia kokote aliko hadi mwisho wake. Ukiniuliza mie, dharau wanasiasa, heshimu mwanaharakati.