@Almalik_Mokiiwa MTAANI NI KUGUMU SANA, wajitahidi kuiandaa kesho yao vizuri kwa kujituma na kujifunza skills ambazo zitawapa ajira na kuwaepusha kuishia kufanya mambo ya kujishushia heshima.
Pesa ipo sana ila ni kwa wale walio tayari kujitoa na Kusacrifice mda wao na akili zao kumasta skills.
Kukua katika Industry yoyote unahitaji consistency sana na pia uwe na kitu kitakacho attract attention ya watu.
Now it is time to use my hobby and share my personal opinions.
Soon I will reveal it.
@AllyAssed13070 Uzuri ni mtazamo wa Mtu na mtu. Wewe kwa mtazamo wako na moyo wako ndo umewaza ivo but mimi naweza mchagua IU kutegemea na vigezo vyangu linapokuja suala la Uzuri.
@Elsukay0 Huyu bado sana, anahitaji acheze hata misimu 3 katika ubora wake ndo atapruv kama ana kiwango kweli.
Shida Bongo tunakurupukia sana usajili. Kibabage amewahi cheza Morocco na Msuva , then akarudi Bongo akacheza Mtibwa sugar nazan, then ndo Akacheza Yanga, Singida BS na Simba.
@samsonmbembela Kuna kitabu kimoja cha Dale Carnegie kinaitwa "How to Win Friends and Influence people ".
Nilikisoma nikiwa Form 5 Galanos Tanga.
Kimebadilisha sana mitazamo yangu.