Na hapa ndipo wanapofeli, unamshutumu mtu bila kuwa na ushahidi wowote halafu unataka watu wa kuamini??
Waweke/watoe ushahidi na sio kuzushiana taarifa za uongo uongo tu
@EsirEid Kama mtu amekosea sema kosa lake toa na ushahidi
Kama mtu amemchoma mtu kwa manjagu weka ushahidi hadharani yote na yote.
KILA ABIRIA ACHUNGE MZIGO WAKE
@DadaEstie I remember tulienda kwenye harusi na yeye alikuepo, my โthen boyfriendโ akaniomba sana nimsalimie akasema โyou should hug her labda anajuta huwezi juaโ I did exactly that, only for me kuja kujua bado anafanya vitendo vile vile kwa watoto wa wengine ๐ฎ
Kuna Mchezaji hapo team za kariakoo wakati ana sign, signing fee yake ilikua 50M ikapunwa akapewa 10M,
Mshahara wake unapitia kwa Mtu hapo kwanza alafu yeye anakunja 2M ๐๐ป
Analalamika tu hana cha kufanya na yupo anacheza, mshahara unatoka 6M alafu Mtu anakupa 2M kila mwezi ๐ฅน
Well, kama wanafuata na ratiba kama ulivyosema, wanapataje hasara wakati online ticket zimeisha ana inaonekana ndege imejaa??
Hata kama itaondoka na watu 30 au 50, hasara inatokea wapi?
Siku moja tulikuwa tunapiga story na Ngosha nikamuuliza inakuwaje online ticket zimekata, ila wakati wa kukwea unakutana na empty seats? Akanichapa msasa kidogo, na mwisho tukagusia hili la hasara.
Naomba kumnukuu alichosema bwana Ngosha:
Hakuna umri sahihi wa kutokufanya makosa Saphia, mara nyingi mtu anafanya kosa kwa kutokujua ila akijua hawezi kufanya kosa
So unaweza ukawa hata na miaka 60 ukafanya makosa vile vile
Miaka 30 ni umri wa kutokufanya makosa kabisaaa kama hukufanya makosa ya kudate mtu wrong ukiwa na miaka 29 kushuka chini miaka 30 sio umri wa kuruhusu makosa miaka 30+ ni umri ambao muda ndio unaanza kuwa hautoshi + magonjwa kama hukurekebisha huku chini ukifika 30 hutaweza
Hiyo ni RF ni (Radio Frequency ID) โ inakuwezesha kutoa fedha au kufanya huduma za ATM kwa ku-scan card au smartphone yako hapo bila kuingiza card ndani ya ATM, ni teknolojia nzuri iko faster na ni ngumu kuifanyia udukuzi (counterfeit/ATM Skimming). pia kadi haiwezi kumezwa.