Ukimtanguliza Mungu tayari unaongoza, kazi yako ni kufanya zaidi kwa ajili ya wengine(bariki ) naye atafanya ulinzi ndani yako na ushindi mbele ya wengine.
“Kama bado hujaelewa goli la ugenini ndio hivyo”!
@VodacomTanzania nahitaji msaada wa kurejeshewa muamala uliofanyika kimakosa(namba husika haitumiki tena imefungwa) uliotoka @airtel_tanzania kwenda @VodacomTanzania. Nahitaji msaada kwani siku zimeshakuwa nyingi.
@VodacomTanzania ndio wanatajwa kutorejesha majibu kwa wakati.
Qatar wanatufundisha kwamba Financial Freedom ndio msingi Mkuu wa Uhuru wowote. Kipato huleta Misimamo, wamepata World Cup na wamekataa kila kitu wanachoona kwao sio sawa. Tutafute pesa tupate Uhuru wa Kiuchumi, na tusisahau Maskini hana Kiapo.