Kabla haijawa mbaya naomba niongee pengine ntapata Msaada wa haraka jana jioni nilimtafuta Sativa sikumpata Sativa ana Simu 3 kati ya hizo moja tu ndo ambayo ilikuwa hewani Within Hours zote zikawa hazipatikani mi nilikuwa na route ya Dom nilivofika Moro ikabidi ni cancel niliona hii sio kawaida kwasababu najua ratiba zake ikabidi nigeuze na Treni ya Sgr ili niwahi kufika Nimefika mapema but Mpaka Saizi mimi na GOD DID tumemtafuta Sativa bila Mafanikio.
Mara ya mwisho mi niliongea naye alikuwa Home mara ya Mwisho anaongea na GOD DID alikuwa mtaani.
Kama kuna mtu yoyote amewasiliana na Sativa recently au ana taarifa yoyote naomba anicheck DM yangu au ya mtu yoyote wa karibu wa Sativa.
Repost ๐๐๐
Zuia picha, video na doc kujipakua zenyewe bila wewe kupenda kwenye whatsApp.
Kuna muda unaweka bando mara ghafla tu limeisha. Media auto download huwa ni chanzo pia.
https://t.co/dcCrRx4iRT