Your time is limited, so don't waste it living someone else's life. Don't let the noise of other's opinions drown out your own inner voice.
And most important have the courage to follow your heart and intuition. They somehow already know what you truly want to become.—Steve Jobs
Jambo lolote linalokuvua utu wako na utimamu wako hupaswi kuliendekeza katika maisha yako hata kama lina thamani gani ama unalipenda kiasi gani. Ukishapoteza utu na utimamu wako ndio ushapoteza thamani yako katika maisha. Hakuna utakachokipata cha kufidia hicho ulichopoteza!
"When we love, we always strive to become better than we are. When we strive to become better than we are, everything around us becomes better too." - Paulo Coelho
Leo yako na unayoyapitia, yawe mazuri au mabaya, yaweza kuwa ndio jana ya wenzako au kesho ya wenzako. Usilazimishe leo yako iwe ndio leo ya kila mtu. Kila mtu na leo yake!
Watu wanapitia mengi sana ambayo hatuyaoni wala hawatuonyeshi usoni mwetu. Ukiwakuta watu wanafurahi ama kushangilia mafanikio yao hata kama ni madogo, ama ungana nao kushangilia, au wapishe washangilie. Kama wewe si sehemu ya maumivu yao, usilazimishe kuwa sehemu ya furaha yao.
Wanaotuzunguka wanaishi na mapungufu yetu kwa kutuvumilia. Hakikisha unautambua mstari wa uvumilivu na kuepuka kuukanyaga au kuuvuka. Usiwafikishe wanaokuvumilia mahala wakakuchoka. Kumbuka meza ya uvumilivu imeegamia ka-jiwe. Epuka kutikisa meza ya uvumilivu. Itakuangukia!
Siri ya kuridhika katika maisha imejificha katika uwezo wetu wa kukinai na kuwa na kiasi. Kuridhika hutupa amani na utulivu wa nafsi zetu. Hatimaye amani na utulivu wa nafsi zetu hutupa furaha.
You say you love rain, but you use an umbrella to walk under it.
You say you love sun, but you seek shelter when it is shining.
You say you love wind, but when it comes you close your windows.
So that is why I am scared when you say you love me. —Bob Marley
Njia ya uponyaji inaweza kuambatana na maumivu pia. Kwani hata nguo hushonwa kwa kutobolewa na sindano. Ukiona nguo imependeza, imeshonwa. Ukiona mtu imara na mwenye furaha, kafumwa kwa maumivu mengi.
Appreciate the people who tell you the truth.
Appreciate the people who expand your mind.
Appreciate the people who forgive you first.
Appreciate the people who open doors for you.
Appreciate the people who make you laugh.
Appreciate the people who inspire you to grow.
Lessons I learned from my mother
1 family comes first, always
2 be kind to everyone
3 work hard
4 be grateful for what you have
5 help people
6 eat last
7 be a good host
8 serve with dignity
9 be proud of your name
10 forgive first
11 fight for your happiness
12 be a good friend
“When you deny or avoid unpleasant emotions, you make them bigger. Feel whatever you have to feel because thats how we heal. Human beings can not program ourselves to ONLY be happy. ITS OKAY TO NOT BE OKAY.”
Stop sharing your pain with everyone & never on social media. There are many who would be happy to see you in pain. Be mindful who you allow into your circle. Not everyone is there for your healing. Some will even pray against you. Take your pain to the Almighty, your Healer!