Ok mpira kando! Camel herders in nguni mwingi jana killed a grade 7 pupil! Hawa wasee wameua kambas sana hapo Tseikuru na Serikali imenyamaza hii inafaa kuwa main issue leo it can't be happening bro
@MyFathersFeet@mwololo_@HonKangata Have you been in makueni this January??? Mangoes are rotting the farms from nziu,ukia,malivani just go around and see
“If Singapore took 30yrs to move to first world, Kenya will take 5years because of prayers” - President Ruto.
Let me watch hyenas mate on NatGeo. At least they know what they are doing.
@Mshale_K@JaneFKyalo My exact sentiments and if housing pia ni shida Sana there are those incomplete housing projects next to the governor's office zimekuwa unfinished since time ya sinuka Bana wangetengeza izo...hii housing NI tender moja kubwa watu walijipee tu
@abuga_makori Kitu unafaa kujua ukambani round hii hakujanyesha so hatutegemei shamba Sana tunataka hii "empowerment " SASA tukule pia Sisi lakini asubuhi mapema sugoi