@SaumuYanga@PolycarpMDM Kwahio ni bora kuteseka na foleni sababu gardeni zimependezesha mji! Ni gardeni ipi tumewahi itunza na ikpendezesha mjii, siku zotezimetushindaga
@Feudal70@HabiibYahyaa Hawalazimishwi ni kwa wanaoamini asie amini havai, ila kwa anaetaka kuvaa basi lazima iwe na hiyo standard ila pawa na mfanano badala ya kila mmoja kua na mtindo wake hiyo inaondoa maana ya uniform
@EsirEid Kuanzia Leo Muislam ukikutana na Mkristo msalimie Asalam Aleykum na Mkristo ukikutana na Muislam msalimie Bwana Asifiwe/ tumsifu yesu Kristo. Mimi kuanzia Leo ijumaa nasali Msikiti Jumapili kanisani . Nani tuko pamoja kwa hili