Atawauliza, Mmejaa hapa mnafuraha, naomba mniambie mnafurahia nn hasa mlichofanya msimu uloisha?
Mna nn chakujivuania na kuwafanya muwe na furaha?
Badilikeni, mm kama mama yenu sipend kuona mnafurahia kitu kisichoonekana.Hii ni sawa na mnafurahia kupata ZERO.
Badilikeni.....
Wakati tukijiombea mabadiliko ya kiuchumi binafsi...tukumbuke pia kujiombea kuhusu afya zetu na za wanaotuzunguka....vita ya kiuchumi ni nzito na inaumiza sana....lakini vita ya afya ni nzito kuliko tunavyodhani.
Life is too short ...Add death to your plan...βπΏπ«’πββοΈ