Hakuna MECHI hakuna kupoa, kwa sh 100 pekee una shinda Mamilioni kila dakika mbili.
Cheza sasa Virtues za Gwalaligi utusue kirahisi.
Tembelea: https://t.co/emqlsTSm5h
#Gwalabet#GwalaVirtues#MkamariaWaGwala
Tarehe 9 December, saa 1 asubuhi, Watanzania wote tutaingia barabarani kudai haki kwa amani.
Macho ya dunia yatakuwa Tanzania on Dec 9. TUTASHINDA!! God is on our side. We shall win.
Hakuna kurudi nyuma…..
Hongereni Wawekezaji!! Mtafutaji hachoki!!!👊🏽👊🏽
Hawa ndio washindi wote kutoka Instagram, Facebook na X waliofuata vigezo sahihi viwili kati ya vitatu vilivyotajwa:
1. Kubashiri Timu ya kwanza kupata Kona(FT)
2. Idadi ya Kona kwa Dakika 90 (FT)
Kigezo cha mwisho ili washindi na wapate Mkwanja wao tunaomba mtutumie namba zenu ambazo mmejiunga na GwalaBet na mliweka Mkeka au mlicheza Casino kabla ya Mechi hii kuanza.
#gwalabet
#mpakakieleweke
#gwalachallenge
Tangazo,
kwanza ukiona posti hi wewe mzalendo Reposti 🪱
wa Tanzania wote napendekeza tuchange pesa kwaajili ya wapambanaji hawa hawatakiwi kuteseka wakiwa gerezani wapo kwaniaba yetu tuungane nao
-Nguo
_Subuni
na mahitaji mengine
tupate mtu wakupokea na kusambaza,
Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa njia zake.
Kila tone la damu lililomwagika lina thamani mbele zake. Kila kilio, kila pumzi ya mwisho, ni ushahidi wa mateso yasiyo na hatia. Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa, na kwa wakati wake, haki itatimia.
Msiache kuamini. Jipeni moyo, maana imani ndiyo tumaini letu pekee. Wengi wamekufa, wengi wamepotea, lakini hakuna kinachopotea bure machoni pa Mungu. Siku moja, mtaona kuwa maumivu haya yote hayakuwa ya bure. Siku moja, machozi yatafutwa, na moyo uliojeruhiwa utapata amani. Na hapo mtasema kwa machozi ya furaha “Asante Mungu, kwa sababu ulikuwa nasi hata katika giza.”
Mheshimiwa Rais,
Maisha yangu yako katika hatari kubwa. Tafadhali, naomba kwa unyenyekevu mkubwa unisikilize. Ningependa kuishi ili niweze kuwaona watoto wangu wakikua, kuoa na kuolewa mbele ya macho yangu, na ikiwezekana, niweze kufurahia wajukuu wangu ikiwa Mungu atanijalia maisha marefu. Kila mtu anatamani kuishi maisha marefu yenye amani na uzee mwema. Kwa sasa, kuna watu ambao wananifuatilia kwa karibu sana. Hata jioni ya leo, wameonekana maeneo ya nyumbani kwangu, na nina hofu kwamba wangeweza hata kumdhuru mtu yeyote ambaye si mimi. Kwa hali hii, naona ni bora nijiweke mikononi mwa mamlaka kwa hiari yangu kuliko kuendelea kuishi kwa hofu kila siku.Niko tayari kuwekwa mahabusu kwa hiari yangu hadi kipindi cha uchaguzi kipite, kwa sababu naamini kufanya hivyo kutaleta utulivu kwa wazazi wangu, mke wangu Neema, na watoto wangu. Najua watahisi angalau faraja kwamba niko salama.
Ninaomba kwa moyo mkunjufu ulinzi na msaada wako, Mheshimiwa Rais.
🚨WAKUU LEO ISIKUPITE BILA KUONDOKA NA BONUS YAKO YA #WasafibetChallenge‼️
Dondoka na Bonus yako ya TZS 5000 leo ukipatia jibu sahihi kwenye Challenge hii👆
VIGEZO NA MASHARTI👇
1. Kiwango cha ushindi cha Tsh 5000 kama Bonus
#WasafibetChallenge#mkwanjakilautabiri
BABKUBWA JACKPOT ya kibabe sana Mechi chache zinazoweza kukupa ushindi hadi MILIONI MIA MOJA kwa Tsh 1000 Tu! GWALABET mambo yote mazuri utayapata huku mkamaria 🔥👊🏽
Ingia hapa kubeti Jackpot: https://t.co/emqlsTSTUP
Msaada: 0748770460
#Gwalabet#Mpakakieleweke
1. Bashiri Mfungaji wa Goli la kwanza.
2.Matokeo sahihi baada ya Dakika 90.
3.Weka Mkeka wa kuanzia 500 kabla ya Mchezo kuanza.
4. Tag Washkaji 3 na Retweet post.
Ushindi utagawanywa kulingana na Idadi ya Washindi. Mwisho wa kuweka bashiri yako hapa ni Leo Saa 15:00.