The good experience in music is when an artist took his music from OG song performing it in live band then sounds better than OG song.Energetic,physical expression,sound reaction word to word hearing took the song to another level ..
@FidQ your the best on HIP HOP LIVE BAND π.
"sipigi kila dili mipaka imezingatiwa/
sitaki kuwa TAJIRI ninataka KUFANIKIWA/
ili KUHESHIMIWA kwanza ni lazima UJIHESHIMU/
lakini kufanikiwa ni MAUJANJA tu sio lazima ELIMU/
ili kuyadaka wengine hugeuka WABAYA".
#MAFANIKIO
#MAFANIKIO hayaji ukikata tamaa../
yenyewe huwafuata wanaojituma na wale wasiosukumwa na njaa/
sipigi kila dili mipaka imezingatiwa/
sitaki kuwa tajiri ninataka kufanikiwa/
ili kuheshimiwa kwanza ni lazima ujiheshimu/
#MAFANIKIO
"Sikuiti shujaa kwa kufanya kile unachofanya/Nitakuita mjinga ukishindwa ikiwa chawezekana/Dunia ni kubwa pia nindogo tukiungana kiutu uzima/na mlima haupandwi kwa kuutazama".
#BenderaYaChuma
Msodoki; #HIPHOP misingi kuifuata ni kutafuta njaa!?...
Fid Q ; "Nishafeli Mara nyingi sijaiacha au KUKATA TAMAA/Nipokitaa na WAHUNI suti wanainukisha hii BANGI"
#HatunaKesi
"Hakuna mganga zaidi ya MUNGU Acheni ushamba washkaji/ msijitie GUNDU kuweni WAPAMBANAJI/..Kaza kamba uweze kuwa INCHARGE/..
Kenge hawi MAMBA kwa kukesha ndani ya MAJI"
#Ole_chizza
Nakupenda hip hop ndo maana Na rap ile mbaya/naspit fire bila Hennessy au kula kaya/I want my art to be my legacy/kabla sijaretire,,,waanze nigwaya hawa enemies,anyaways
NI HAYO TU π€πΏ
#BONGOHIPHOP